2001 Dudubaya(Konki) na Mr Nice walipopigana kumgombea Barbou

wakusoma

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2008
Posts
1,084
Reaction score
1,061
Sisi wahenga tunaukumbuka vizuri ugomvi wa mwaka 2001 wa Mr.nice na konki..dudu baya walipokuwa na ugomvi mkubwa ikitajwa walikuwa wakimgombe tajiri maarufu..barbou wa mji kasoro bahari..

Nani anaukumbuka ugomvi huu?nini ilikuwa chanzo?mwenye data atiririke.
 
Anaitwa Merey Balhabou (ruksa kurekebisha)

Alikuwa Mmiliki wa Moro United ya akina Kaseja, Nsajigwa, Boban, Nsa Job, Katalay na wengineo!

Wakati Msoga anagombea 2005, RC Mashishanga aliwakusanya matajiri wa Morogoro na kumpa nguvu Sumaye!

Msoga alipofika Morogoro hakupata kile alichotarajia, aliambulia wafuasi wachache kwa ushawishi wa watu wake km Hassan Bantu (Fundi wa zamani wa kushona uniform za shule zote za secondary Morogoro)

Baada ya Msoga kushinda, kilichompata Balhabou ndio kile sisi watoto wa Tandika tunaita KIKICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA!

Balaaa juu ya balaaa! Moro United ikauzwa DSM! Nyumba yake krb na JUWATA "ikawaka" moto afu FIRE wakaenda km mashuhuda! Baadae ikaja kesi ya wizi wa USD pale Barclay's!
 
[emoji1787][emoji1787]kapotezwa mazima mkuu
 
Duh. Ayseee
 
Kumbe kulipiziana ni kawaida kwenye politiksi eeh

Kweli Dunia Adaha Ulimwengu Shujaa
 
Back
Top Bottom