2002 FIFA WORLD CUP: Taifa kubwa la Tanzania na rafiki yake wa karibu Uganda wakiunganisha nguvu zao wanaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027/2029?

2002 FIFA WORLD CUP: Taifa kubwa la Tanzania na rafiki yake wa karibu Uganda wakiunganisha nguvu zao wanaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027/2029?

Mkuu, 2031 ni miaka 10 kutoka sasa, je hatuwezi kuboresha hivi vilivyopo kwa sasa ndani ya muda huo ambao mimi ninaona kuwa ni mwingi sana...
Una hoja nzuri sana ya ku host michezo mikubwa kwa kushirikiana na nchi jirani.Kuliko kuboresha viwanja vilivyopo bora kujenga vingine vya kisasa kwenye miji stratejic ili kufanikisha azma hiyo.
 
Absolutely! Inawezekana kwa uzuri tu hata 2024. Ukiangalia World Cup 2026 ni Kanada, Marekani na Mexico though Gianni Infartino alifanya uongo na dhulma tofauti na aliyoyasema wakati akiomba kura, by the way!

Tanzania, Kenya na Uganda ziungane kuandaa AFCON ijayo kila taifa liteuwe miji minne viwanja vinne kuweza kunufaika.
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom