2006 Ulikuwa wapi

2006 Ulikuwa wapi

Dah mwaka huo nilikua home bi mkubwa kila nikimpanga nisepe mjini hataki anaogopa. Ni mwaka niliosimamia miradi ya home kwa hasira kila nikiwaza wenzangu tuliomaliza nao chuo wana uhuru mimi nabanwa home asee ila leo naziona faida za mimi kuzuiwa home kwa mwaka ule.
Sasaiv tugawane basi mipesa iyo
 
Kuna watoto wengi sana humu.......mwaka huo tumekusanyika kibanda umiza Advance kuangalia Wema sepetu,Jokate,Sara Kangezi....miss Tz.....nimemiss maisha ya Boys sana

Mgl.........NEVER GIVE UP
Umeona sasa unataka ma last born tukacheze wapi?
 
Hahahah ndio natoka chuo cha utalii.
Hapo damu ya moto hatareee niko fiti kinoma yaani barobaro raha zote za dunia nazitaka.sasa hivi nimepoa ni mtu kuchek taarifa ya habari ITV na kuangalia taarifa ya hali ya hewa tu.
Noss numangalia bbc as
 
Back
Top Bottom