2008-2025 JWTZ imezuia mapinduzi ya kijeshi ya Jeshi la Rwanda (RPF) mara 8 ndani ya Burundi

Kwa kesi ya Afrika ni tofauti na Marekani...

Wale black american hawana makabila

Afrika bado tunaishi kikabila, tunajua Uganda hakuna wafipa...

So tukiona mfipa pale Uganda hata kama ni wa kizazi cha 5 huyo bado ni mtanzania...

Na tutaishi na wewe kwa kukuvumilia, ila siku ukileta ujanja tutakwambia Uganda sio ya wafipa, kwenu ni Rukwa, Tanzania...
 
Mkuu, nikuulize swali, unaijua historia ya uanzishwaji wa vyuo vikuu Rwanda ???
 
Rudia upya kusoma ulichoandika.
Ni kipi kinachofanya mtake kufanya operation ya kuwarudisha kwao?
It's too late mzee baba, endelea kukariri.
JWTZ ilikuwa kipindi kile cha akina jenerali Mayunga, ya sasa haiwezi fanya lolote kwa Rwanda
Suburi uone Sasa
 
Tatizo la Wanyarwanda wameishi na kukua katika propaganda za ukabila, hivyo hawawezi kuacha ni asili yao.
Sio wanyarwanda mkuu, watusi specifically...

Kwasababu congo kuna wahutu pia na hawana tatizo na mtu...

Mtusi kinachomtesa ni ukabila na ubaguzi, hawezi kuishi na makabila mengine...

Ukitaka kuamini hilo nenda Tabora na katavi kuna sehemu zinaitwa utusini, wamejitenga na raia wengine...

Wenzao wahutu wamesambaa nchi nzima na huwezi watofautisha na waha kwasababu hawana tabia za kibaguzi na kujitenga.
 
Wamasai wote wakenya au watanzania?
Wa-tswana wote Kwao Botswana au South Africa?
Wasomali wote wakenya au wasomali?

Wakurya wote Wakenya au Watanzania......

Waafrika Weusi wote walikuwa na makabila....makabila na Mila zao ziliisha pale waliposafirishwa.

Naelewa Kabila Sr alisaidiwa na Watutsi kumuondoa Mobutu....hivyo kuna uhasama.

Ajabu mnawakubali wahutu wa Congo ila watutsi hamuwataki.??
 
South Africa wanatengeneza silaha, kuanzia ndege za kivita hadi vifaru.
 

Sasa kama wanajua kutengeneza hizo tenda za kuleta sare za jeshi kutoka nje huwa zinatolewa kwa kazi gani?
 
Nafikiri sasa tunakwenda sawa...

Inatakiwa ushangae, kwanini watusi tu ilihali kuna makabila mengine hawasumbuliwi...
 
Sema yote ila tumechoka dharu tunamng'oa Banyamulenge mwenzako
 
DRC nachojua hakuna majeshi ya Rwanda,
Majeshi yaliyopo DRC
SAMIRDC
M23
FDRL
FARDRC
 
Sasa kama wanajua kutengeneza hizo tenda za kuleta sare za jeshi kutoka nje huwa zinatolewa kwa kazi gani?
Kaka taasisi yeyote yanye accountability kwenye masuala ya kifedha lazima iwe na utaratibu wa manunuzi ambao uko regulated.
Hao suppliers muda mwingine wanatumika kama ghost tu ku justify kuwa mchakato wa manunuzi umezingatia sheria ila ukute hata hawahusiki na chochote
 
Kagame mpaka sasa kapoteza watu zaidi ya milioni 3.
Kagame hana huwezo wowote wa kutawala Tanzania, Tanzania hatuna ukabila wake na Tanzania hutuna utawala wa chuma.
 
Hao wote wnatoa intelligence tu hawaingii front na hawawezi Guerilla.
Kwa hapo Congo wabane wa Guerilla ni wakongo wenyewe, Uganda,Rwanda na hao m23 ila wote akiingia TPDF wanapata shida.
Ndiyo buck up yenyewe hiyo wanayompa, maana wanafaidika naye.
 
South Africa wanatengeneza silaha, kuanzia ndege za kivita hadi vifaru.

NI biashara ya Kaburu hiyo, mwisho wa Kaburu kutumia nguvu zake kwenye jeshi la SA ni vita ya Angola na Savimbi.

Kwa sasa kaburu hajihusishi sana na hilo jeshi labda kutokee kitisho kutoka kwa majirani hapo kama Zimbabwe nk anaweza kuingia mzigoni kwa kiasi kikubwa kulinda rasirimali zake.

Kwa kiasi kikubwa Jeshi la SA limejaa wazembewazembe wazuru nk ambao sio wapiganaji wazuri na sio watu wenye akili.
Refer kilichotokea Msumbiji ambao ni jirani zao walifanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…