2008-2025 JWTZ imezuia mapinduzi ya kijeshi ya Jeshi la Rwanda (RPF) mara 8 ndani ya Burundi

SA popote inapokuwa kwenye kitisho ujue watatumia rasilimali zao na viwanda vyao vya kutengeneza silaha kukabiliana na adui.
 
Kwanini Felix hadeserve kuongoza Congo?
Anaye deserve ni nani?
 
Hata sasa anabweka sana kwa sababu ya back up ya USA, Israel na France.
Huo ni uongo wa kijiweni, Rwanda haiungwi mkono na wazungu na hata juzi tu Marekani ameionya Rwanda kujiondoa Congo.

Waafrika wana tabia ya kijinga sana ya kutafuta visingizio kwa madhaifu na matatizo yao wanayojiletea wenyewe. Afrika bure kabisa.
 
Hebu wewe Mwenye kitu kilete.Ninyi Nguchiro mmefadhiliwa Tz na mnalipiwa mishahara kwa Kodi zetu afu mnaleta dharau. Na kwa chuki mnayotengeneza Rwanda siku pakichafuka sijui mtaenda wapi
Kwakweli pale Kigali kuna mtindio wa hekima na busara vya hali ya juu..
 
Kwanini Felix hadeserve kuongoza Congo?
Anaye deserve ni nani?

WacCongo wanapaswa kutafuta anayedeserve, Felix ameshindwa kuwalinda, ukiiona Ile hali ya Askari wa DRC utaelewa namaanisha nini, wale Askari hawalipwi mishahara na hawana mafunzo ya kutosha.
 
Mungu isaidie Africa, ujinga na ukabila unamaliza watu wetu🥲
 
Ukiwa na mamlaka unapoteza aibu nadhani hii ya kumwambua mtu aliyeishi sehemu tangu 1900 kuwa si raia wahapo ni kawaida kwa mwenye mamlaka. Hiyo ni namna ya kipuuzi kumwengua mtu kutoka kwenye "kinyanganyiro" Ili mshindani wake mwenye mamlaka anufaike.
Tanzania vitu vya namna hiyo huibuka wakati wa uchaguzi, hasa kwa raia wa mikoa ya pembezoni.
Ooh..mara mgombea flan kaenguliwa kwasababu siyo raia!
Ngano, Husein Bashe na Zitto Kabwe iliwahi kuwatokea.
 
WacCongo wanapaswa kutafuta anayedeserve, Felix ameshindwa kuwalinda, ukiiona Ile hali ya Askari wa DRC utaelewa namaanisha nini, wale Askari hawalipwi mishahara na hawana mafunzo ya kutosha.
Taratibu za kupata Raise wa Congo zinawahakikishiaje wapigakura kupata mtu wa namna hiyo?
 
Pia Mzinga Morogoro wanatengeneza risasi
 
Taratibu za kupata Raise wa Congo zinawahakikishiaje wapigakura kupata mtu wa namna hiyo?

Hilo ni pamoja na kuhakikisha mfumo mzima unakuwa sawa, huwezi kumpata mtu sahihi kwakutumia mfumo usio sahihi.
Ndio maana hata hapa Tanzania unaona ugomvi wa katiba na tume huru ya uchaguzi lengo ni lile lile kuhakikisha anapatika mtu sahihi.
 
Mifumo ya chaguzi zetu haitofautiani sana. Uganda, Rwanda,,Burundi, Tanzania inaweza kuwabambikia raia kiongozi wasiye mchaguwa. Pale Congo kinachokosekana ni nguvu za a mamlaka ya raisi ngazi za chini.
 
Mkuu USA kun watu wanalala nje na mateja wapo kama wote, china ndo usiseme lakin bado wanatoa misada kwa nchi kibao. Au wew hujawah kuwasaidia watu wasio ndugu zako? Na ikiwa ni Ndiyo je ukoo wenu wote wanajiweza?
 
Mifumo ya chaguzi zetu haitofautiani sana. Uganda, Rwanda,,Burundi, Tanzania inaweza kuwabambikia raia kiongozi wasiye mchaguwa. Pale Congo kinachokosekana ni nguvu za a mamlaka ya raisi ngazi za chini.
Kiukweli uchaguzi wa Tanzania ni wa kusikitisha sana pia.
 
Usitoe Siri🤐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…