2010 BMW 320i vs Mercedes Benz C Class

Siwezi kukubishia hiyo ni experience ya kwako. Wengi wanalalamika matatizo around mileage uliyopo sasa mpaka 100k. Na ni matatizo ambayo yanakuja msururu ndani ya muda mfupi.

BMW e90 ya N52 na N46 zinauzika sana. Is not a coincidence.

Angalia e90 zote zinazouzwa bei rahisi zina engine code gani?
 
2010 Bmw E90 318i LCI ina N46 engine na valvetronic. Valvetronic huwa inasumbua lkn dawa yake ni kuchomoa plug ya eccentric shaft sensor. Hii engine inataka matunzo kwa maana ya replacements za parts nyingi sana pamoja na engine oil kila kilometer 5000. List ni ndefu sana ila ukifanya vyote you’ ll be good. Vanos solenoids. Crankshaft sensor. Camshaft sensors. Spark plugs. Engine air filter. Engine oil filter. MAF sensor.. Coollant. Etc. Kusafisha intake valve mara kwa mara ni muhimu sana pia.
 
Sasa huoni hiyo gari umenunua iliyorudishwa nyuma odometer?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa tu ndiyo huwa unanifanya nikukubali......
Huwa unazungumza kitu ambacho unakifahamu vizuri........
Wewe na ndugu RRONDO huwa mnalitendea sana haki hili jukwaa......
 
Nilitaka nishangae bwana wewe kutokuwepo kwenye huu uzi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…