2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

jamani nyue mnaangalia kwenye chaneli gani, ndo naingia jijiji leo, stratimes chaneli ipi. au SSpot?

Kama star times inakamata UBC ni television ya Uganda utaona maelezo ya hiyo mechi na wataonyesha,au kuna kituo cha television ya Zambia kinaitwa tv2 sina uhakika kama zinakamata startimes.Jaribu na KBC ya Kenya
 
Papaa Thomas Mlambo na SS4 amenihakikishia kuwa game ipo.
 
wanaotazama KBC na UBC wanatazama kwa king'amuzi gani mkuu?

mambo yote dstv tu, tena ulipie premium monthly plan.
Kama wewe ni mganga njaa kama rejao, huwezi hiyo kitu, we sikiliza clouds na tbc tu.
 
mambo yote dstv tu, tena ulipie premium monthly plan.
Kama wewe ni mganga njaa kama rejao, huwezi hiyo kitu, we sikiliza clouds na tbc tu.

Rejao iko pesa mingi wewe...
Ana hela kama Mwarabu wa Kempinski...
 
Rejao iko pesa mingi wewe...
Ana hela kama Mwarabu wa Kempinski...

hahahaha.....kumbeee..
Yani kama yule mwarabu aliyemnunulia mkuli sarawili na jambakoti??
Basi mi simuwezi Rejao....duh!!
 
Back
Top Bottom