Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,064
Madishi ya kawaida haya ya local na EasyTVwanaotazama KBC na UBC wanatazama kwa king'amuzi gani mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madishi ya kawaida haya ya local na EasyTVwanaotazama KBC na UBC wanatazama kwa king'amuzi gani mkuu?
Gari la kutoa maji limekuja uwanjani...
Naona game itaendelea.
jamani nyue mnaangalia kwenye chaneli gani, ndo naingia jijiji leo, stratimes chaneli ipi. au SSpot?
wanaotazama KBC na UBC wanatazama kwa king'amuzi gani mkuu?
Now!!!
This match will be postponed. Sobhuza wait and see.
According to SS, the kick-off is 1900 CAT, which will be saa mbili usiku kwa muda wa madafu.
wanaotazama KBC na UBC wanatazama kwa king'amuzi gani mkuu?
wanaotazama KBC na UBC wanatazama kwa king'amuzi gani mkuu?
KBC inapatikana Startimes lakini UBC unaipata kwenye king'amuzi cha Easy Television
mambo yote dstv tu, tena ulipie premium monthly plan.
Kama wewe ni mganga njaa kama rejao, huwezi hiyo kitu, we sikiliza clouds na tbc tu.
Papaa Thomas Mlambo na SS4 amenihakikishia kuwa game ipo.
Startimes kama unayo katupe mbali!
Haiwezi onyesha mashindano kama haya!!
Libyas anthem is playing...
Yah: now everything is clear: i can see the lineup for both team.
Rejao iko pesa mingi wewe...
Ana hela kama Mwarabu wa Kempinski...