2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

At last! The dream become true to Zambian!! What a lesson to us!
 
Labda wako mbinguni na wao wameona!

Nasikia kuna channel nyingi sana kule, unaamua tu uangalie ipi

Ukitaka kuangalia wazinzi na walevi wewe tu!

Wameona mkuu, na vijana wameshinda...Imenifurahisha na kunifuta machozi ya Whitney
 
What a weekend.....

Arsenal jana kashinda....

Yanga leo kashinda.....

Real Madrid leo kashinda.....

Zambia kashinda na kuchukua AFCON....

Hakika Mungu ni mkubwa.......

hahahahaha....dahhh, toa na sadaka basi kaka....hahaha
 
19 years on the scene an n the coutry where therr plane crashed zambia have won AFCON .

WOOOOOOOOW

cheki huyo mwali anavyoingizwa kwa manjonjo..
 

Attachments

  • mwali...jpg
    mwali...jpg
    168.7 KB · Views: 40
C. Katongo is the man of the match and the tournament!!

Well done!
 
Hongera sana vijana na majirani zetu wa pale Tunduma

Big up Michael Satta Rais wa Zambia Mpya - hongereni sana Wambia wote
 
Chezea Chipolopolo wewe........

Chris Katongo ni nomaa.....

Isack Chansa na Sinkala ni noma pale kwenye kiungo....

Raiford Kalaba na Emmanuel Mayuka wanatisha.....

Stophira Sunzu ni kitasa cha maana,ni stopper wa ukweli hasa.......

Aaaaaaaaah...............Zambia bana
 
Nipo huku kwenye kozi ya kuwa mtangazji wa mtukio live kwa maandishi. Kesho Nitakuwa dodoma bungeni live..... lol

Mbona umepotea sana wewe . Mchucchu kakukataza ku-jf.......

hahaha! I've been working on a BIG personal project, i will tell you more! Utakuwepo mjengoni kweli Mtazamaji?
 
Zambian have made it through penalt by 8-7 goals. Ivory got 7 penalties while zambia got 8

The zambian under Michael Sata aka King Cobra! Even we as Tanzanians if we will choose/SELECT another part such as CHADEMA we will win AFCON We as TANZANIANS. TUTASHINDA AFCON ENDAPO TUKIITOA CCM MADARAKANI NA KUWAPA WAPINZANI KWA SABABU CCM NI WAOVU MNO!
ANGALIA ZAMBIA BAADA YA MICHAEL SATA KUINGIA MADARAKANI, MUNGU AMEWAONESHA WANAZAMBIA KWAMBA HUU NI MUDA WAO KUFURAHIA KWANI WALIMCHAGUA MTU AMBAYE NI MWEMA YAANI MICHAEL SATA AKA KING COBRA.
MUNGU IBARIKI ZAMBIA, MUNGU IBARIKI TANZANIA!
 
Moyo wa uzalendo umewabeba sana wazambia! Wamepigana haswa!
 
Nimewasliana na marafiki zangu walioko lusaka.leo ni hakuna kulala.najua pombe zote zitaisha kwenye bar wakianza na bia ya Mosi<safari ya tz> na wanamalizia na CHIBUKU
 
Kocha wa zambia kavaa shati lake jeupe ambalo anasema ni la bahati

Sijui cc huwa tunaokota wapi marefa...yaani Tanzania kila kitu deal tu, imported products are substandard, makocha wa nje vimeo,..
 
Rev. Amini utabarikiwa. Wamepania watashindwa. Nitarudi hapa baada ya mchezo kwisha kukukumbusha kuwa majina hayachezi soka.

nimerudi rev, kambuzi kanaliwa sasa. Bravo zambia, bravo wote walionisapoti. Bravo jf. Waaminio wameuona ufalme wa mola.
 
Emmanuel Mayuka wa zambia win top scorer award Anawazidi wenzake waliolingana magoli ya kufunga sababu ana assist nyingi.
 
kiiiiililililililililililililililililililililililililililililililililil
 
Back
Top Bottom