2014 Kombe la Soka la Dunia Pigo kubwa kwa Brazil Mafanikio makubwa kwa Mwanahabari aliyejielewa

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Mabadiliko mema kabisa kwa mwanahabari wakati Brazil inapata kipigo kikubwa kilichowahuzunisha si Brazil bali wapenda soka wote duniani.

Video clip inajieleza.

Daah...Aliyeuelewa huu Uzi , anieleweshe tafadhar
 
Kipigo alicho kipata Brazil kwenye kombe la dunia 2014 dhidi ya German kilikuwa kipigo kilicho huzunisha mashabiki wengi sana duniani lakini Kilimnufaisha mwanahabari aliye kuwa ana jielewa.Maana yake kuna mwanahabari aliye weza kunufaika na kipigo hicho.

#Jinsi nilivyo muelewa
 
Ahsante mkuu, inawezekana tatizo la MB au lugha inanipiga chenga , nilitaka kujua huyo mwandishi anayejielewa alinufaikaje na kipigo cha Brazil
 
Tumsubiri mleta mada atuelezee.Au huenda jibu liko kwenye video clip.Maana mimi sijaifungua
 
Mabadiliko mema kabisa kwa mwanahabari wakati Brazil inapata kipigo kikubwa kilichowahuzunisha si Brazil bali wapenda soka wote duniani.

Video clip inajieleza.

View attachment 2250733

Hizi zama za Tozo, sijui Urusi na Zelinsky, mtu akiona video huwa wengi hatuifungui maana MB'S ni janga sugu kwa baadhi yetu.

Ingependeza ungeambatanisha maelezo ya kina juu ya kile ulichopanga kuwasilisha kuliko kutegemea video pekee ijieleze
 
Ahsante mkuu, inawezekana tatizo la MB au lugha inanipiga chenga , nilitaka kujua huyo mwandishi anayejielewa alinufaikaje na kipigo cha Brazil

Kombe la dunia la Brazil 2014 limekuja na kupita, lakini kumbukumbu bado ziko kwa Wabrazil wengi. Kwa mwandishi wa habari Andre Lara ambaye alikuja kuwa Mwislamu, ilikuwa ni wakati wa hisia za furaha alipokuwa akisimulia hadithi yake. Ilifanyikaje hasa? Andre alisimulia hadithi hii mwenyewe miaka kadhaa baadaye. Ndicho anachokielezea kwenye video clip.
 
Sasa umekataaje kuwa uzi hauhusiani na uislamu!!???
 
Kombe la dunia la Brazil 2014 limekuja na kupita, lakini kumbukumbu bado ziko kwa Wabrazil wengi. Kwa mwandishi wa habari Andre Lara ambaye alikuja kuwa Mwislamu, ilikuwa ni wakati wa hisia za furaha alipokuwa akisimulia hadithi yake. Ilifanyikaje hasa? Andre alisimulia hadithi hii mwenyewe miaka kadhaa baadaye. Ndicho anachokielezea kwenye video clip.
Unajaribu kutueleza nini madam, nimeanza kuzeeka sasa.
 
Kombe la dunia la Brazil 2014 limekuja na kupita, lakini kumbukumbu bado ziko kwa Wabrazil wengi. Kwa mwandishi wa habari Andre Lara ambaye alikuja kuwa Mwislamu, ilikuwa ni wakati wa hisia za furaha alipokuwa akisimulia hadithi yake. Ilifanyikaje hasa? Andre alisimulia hadithi hii mwenyewe miaka kadhaa baadaye. Ndicho anachokielezea kwenye video clip.
Naisikitikia sana nafsi yako. Una bidii kama za Mtume Paulo kipindi akiitwa Sauli. Nguvu kubwa unatumia kueneza kitu kinachotakiwa kuangamizwa. Nakuombea neema na rehema za Mungu zikufikie.
 
Umeiona video clip?

Yesu, Alayhi Salaam, ni Muislam.
 
Back
Top Bottom