Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipigo alicho kipata Brazil kwenye kombe la dunia 2014 dhidi ya German kilikuwa kipigo kilicho huzunisha mashabiki wengi sana duniani lakini Kilimnufaisha mwanahabari aliye kuwa ana jielewa.Maana yake kuna mwanahabari aliye weza kunufaika na kipigo hicho.Daah...Aliyeuelewa huu Uzi , anieleweshe tafadhar
Ahsante mkuu, inawezekana tatizo la MB au lugha inanipiga chenga , nilitaka kujua huyo mwandishi anayejielewa alinufaikaje na kipigo cha BrazilKipigo alicho kipata Brazil kwenye kombe la dunia 2014 dhidi ya German kilikuwa kipigo kilicho huzunisha mashabiki wengi sana duniani lakini Kilimnufaisha mwanahabari aliye kuwa ana jielewa.Maana yake kuna mwanahabari aliye weza kunufaika na kipigo hicho.
#Jinsi nilivyo muelewa
Tumsubiri mleta mada atuelezee.Au huenda jibu liko kwenye video clip.Maana mimi sijaifunguaAhsante mkuu, inawezekana tatizo la MB au lugha inanipiga chenga , nilitaka kujua huyo mwandishi anayejielewa alinufaikaje na kipigo cha Brazil
Mabadiliko mema kabisa kwa mwanahabari wakati Brazil inapata kipigo kikubwa kilichowahuzunisha si Brazil bali wapenda soka wote duniani.
Video clip inajieleza.
View attachment 2250733
Ahsante mkuu, inawezekana tatizo la MB au lugha inanipiga chenga , nilitaka kujua huyo mwandishi anayejielewa alinufaikaje na kipigo cha Brazil
Sasa umekataaje kuwa uzi hauhusiani na uislamu!!???Kombe la dunia la Brazil 2014 limekuja na kupita, lakini kumbukumbu bado ziko kwa Wabrazil wengi. Kwa mwandishi wa habari Andre Lara ambaye alikuja kuwa Mwislamu, ilikuwa ni wakati wa hisia za furaha alipokuwa akisimulia hadithi yake. Ilifanyikaje hasa? Andre alisimulia hadithi hii mwenyewe miaka kadhaa baadaye. Ndicho anachokielezea kwenye video clip.
Unajaribu kutueleza nini madam, nimeanza kuzeeka sasa.Kombe la dunia la Brazil 2014 limekuja na kupita, lakini kumbukumbu bado ziko kwa Wabrazil wengi. Kwa mwandishi wa habari Andre Lara ambaye alikuja kuwa Mwislamu, ilikuwa ni wakati wa hisia za furaha alipokuwa akisimulia hadithi yake. Ilifanyikaje hasa? Andre alisimulia hadithi hii mwenyewe miaka kadhaa baadaye. Ndicho anachokielezea kwenye video clip.
Nimeweka bando ngoja niiangalie MadamHayo sielezi mimi ndiyo "description" ya hiyo video clip.
Naisikitikia sana nafsi yako. Una bidii kama za Mtume Paulo kipindi akiitwa Sauli. Nguvu kubwa unatumia kueneza kitu kinachotakiwa kuangamizwa. Nakuombea neema na rehema za Mungu zikufikie.Kombe la dunia la Brazil 2014 limekuja na kupita, lakini kumbukumbu bado ziko kwa Wabrazil wengi. Kwa mwandishi wa habari Andre Lara ambaye alikuja kuwa Mwislamu, ilikuwa ni wakati wa hisia za furaha alipokuwa akisimulia hadithi yake. Ilifanyikaje hasa? Andre alisimulia hadithi hii mwenyewe miaka kadhaa baadaye. Ndicho anachokielezea kwenye video clip.
Umeiona video clip?Naisikitikia sana nafsi yako. Una bidii kama za Mtume Paulo kipindi akiitwa Sauli. Nguvu kubwa unatumia kueneza kitu kinachotakiwa kuangamizwa. Nakuombea neema na rehema za Mungu zikufikie.
Stop lying and spreading your lying to the people, Jesus, The son of God was not a Muslim.Umeiona video clip?
Yesu, Alayhi Salaam, ni Muislam.