2014 NBA Finals...updates

.....halafu umeona interview ya Paul......alivyompiga dongo Lance!....."sometimes you got to watch what you saying".....maneno yake yamem-backfire.....duuh
Ila naye kachemka alivyosema hivi, "They won this game at the free-throw line,".
 
Ila naye kachemka alivyosema hivi, "They won this game at the free-throw line,".

Hayo ni maneno ya kusema kwamba refa kawabeba jamaa.

Nakumbuka game 1 Pacers walikuwa na FTs zaidi ya 30 wakati Miami wana 13, so same goes to them kwamba game 1 waliishinda kwa sababu ya FTs
 
sasa leo sijui Stephenson atasemaje kuhusu LeBron.....jamaa mjinga sana.....analeta mambo ya mtaani wakati watu wako kikazi zaidi!!...........

haya ndio maneno ya stephenson baada ya kuwa held to under 10pts

''I was trying to get into his head,'' Stephenson said, referring to James. ''I guess he stepped up and got the win. I can take the heat.'' The heat, maybe.
The Heat, maybe not
 
What impact does he have on his team....maana tunasikia tu kuwa he never starts au plays rarely huku TZ tunamuita super star, why? Kuna ukweli kuwa hachezi na ni bust?

Hajacheza muda mrefu kweli... Game ya juzi ni baada ya muda mrefu Sana kukaa nje.
 
Hana impact yoyote Mkuu ukilinganisha na yule Mzaire Serge Ibaka ambaye juzi alicheza vizuri sana hadi kupata standing ovation kutoka kwa wapenzi na mashabiki wa OKC. Alicheza labda kwa dakika mbili/tatu za mwisho. Jamaa hajitumi kabisa ili kunyanyua kiwango chake cha uchezaji.

What impact does he have on his team....maana tunasikia tu kuwa he never starts au plays rarely huku TZ tunamuita super star, why? Kuna ukweli kuwa hachezi na ni bust?
 
Ila mpunga anavuta kama kawa, na leo atacheza tena.

Kwa kweli hilo ndiyo jambo zuri Sana. Tuendelee kumuunga mkono ni balozi wetu. Mimi nashabikia OKC Kwasababu yumo mtanzania.
 
Tunamshangaa tu akija hapa Bongo anajifanya ni bab kubwa kumbe si lolote si chochote....very pathetic.
 
Ila mpunga anavuta kama kawa, na leo atacheza tena.

Hiyo ni hope ama una uhakika? The coach doesn't trust his game ila wewe una mtrust....Mhhhhhh.....wabongo kwa kukadilia vitu? yaani wewe ndiyo unayejuwa zaidi ya kocha wake, si balaa hii?
 
Watanzania wengi wamejaribu mara nyingi kumshauri aweke juhudi katika kuinua kiwango cha uchezaji wake kwa kuwaajiri hata kwa mwezi au miezi miwili akina Mutombo/Olajuwon (mmoja wao wakati wa offseason ili ajifunze toka kwa hawa wakongwe) lakini wapi!!!! Waswahili hawakukosea waliposema "kwenye miti hakuna wajenzi"

Tunamshangaa tu akija hapa Bongo anajifanya ni bab kubwa kumbe si lolote si chochote....very pathetic.
 
Tatizo la Thabit ni kuwa hajitumi.......dakika tatu alizopewa kucheza ile juzi.....inadhihirisha hilo....na akaishia kuchezea watu vibaya na kuwa penalised......
 
Reactions: BAK

....daah.....hata hivyo Ibaka anatuwakilisha vizuri.....
 
Reactions: BAK
Kwa kweli hilo ndiyo jambo zuri Sana. Tuendelee kumuunga mkono ni balozi wetu. Mimi nashabikia OKC Kwasababu yumo mtanzania.

Mimi ni durant na westbrook "russ" tu huyu mtu(Hasheem) hata sijui kama yupo NBA
 
Hilo halipingwi kabisa Mkuu Ogah hasa ukitilia maanani jamaa tuliambiwa ni majeruhi na msimu wake ndio umeshakwisha. Alinifurahisha sana juzi, hopefully he would be able to repeat the same performance tonight.

....daah.....hata hivyo Ibaka anatuwakilisha vizuri.....
 
Last edited by a moderator:
IMO, This one is over Mkuu, we're waiting the winner from the Western conference.

Heat kamtundika tena Pacers leo 102-90.....now leading the series by 3-1

....halafu nimecheka kweli Stephenson alivyobanwa leo.....Hibbert ndio kabisaa.......now waende kuvua samaki...the so called "bonding moments"......lol
 
....daah.....hata hivyo Ibaka anatuwakilisha vizuri.....

Hatupaswi kujivunia Ibaka tunapaswa kujivunia huyo wetu lakini bahati mbaya anatuangusha na yeye wala hajali hilo
 
....daah.....hata hivyo Ibaka anatuwakilisha vizuri.....

Mazee Serge yupo level ingine kabisa. Si umeona mwenyewe umuhimu wake kwenye timu?

Natamani sana angecheza zile mechi mbili za mwanzo. Huenda series ingekuwa tied sasa hivi.

Ila OKC wana bahati mbaya sana. Mwaka jana wakamkosa Westbrook na mwaka huu tena Serge ndo hivyo.

Sijui extent ya injury yake ikoje lakini sidhani kama yupo 100%.

Ni kama analazimisha tu kwa vile Western conference finals. La sivyo nadhani angekaa benchi ili apone vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…