kambitza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 2,045
- 1,320
Hivi kuna haka kajamaa ketu kiitwacho Hasheem Thabit.....jamani mliopo huko tupasheni haka kajamaa mbona hakaonekani hata benchi ana matatizo gani?
Kacheza juzi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuna haka kajamaa ketu kiitwacho Hasheem Thabit.....jamani mliopo huko tupasheni haka kajamaa mbona hakaonekani hata benchi ana matatizo gani?
Ila naye kachemka alivyosema hivi, "They won this game at the free-throw line,"......halafu umeona interview ya Paul......alivyompiga dongo Lance!....."sometimes you got to watch what you saying".....maneno yake yamem-backfire.....duuh
Ila naye kachemka alivyosema hivi, "They won this game at the free-throw line,".
sasa leo sijui Stephenson atasemaje kuhusu LeBron.....jamaa mjinga sana.....analeta mambo ya mtaani wakati watu wako kikazi zaidi!!...........
Kacheza juzi..
What impact does he have on his team....maana tunasikia tu kuwa he never starts au plays rarely huku TZ tunamuita super star, why? Kuna ukweli kuwa hachezi na ni bust?
What impact does he have on his team....maana tunasikia tu kuwa he never starts au plays rarely huku TZ tunamuita super star, why? Kuna ukweli kuwa hachezi na ni bust?
Hajacheza muda mrefu kweli... Game ya juzi ni baada ya muda mrefu Sana kukaa nje.
What impact does he have on his team....maana tunasikia tu kuwa he never starts au plays rarely huku TZ tunamuita super star, why? Kuna ukweli kuwa hachezi na ni bust?
Ila mpunga anavuta kama kawa, na leo atacheza tena.
Hana impact yoyote Mkuu ukilinganisha na yule Mzaire Serge Ibaka ambaye juzi alicheza vizuri sana hadi kupata standing ovation kutoka kwa wapenzi na mashabiki wa OKC. Alicheza labda kwa dakika mbili/tatu za mwisho. Jamaa hajitumi kabisa ili kunyanyua kiwango chake cha uchezaji.
Ila mpunga anavuta kama kawa, na leo atacheza tena.
Hajacheza muda mrefu kweli... Game ya juzi ni baada ya muda mrefu Sana kukaa nje.
Tunamshangaa tu akija hapa Bongo anajifanya ni bab kubwa kumbe si lolote si chochote....very pathetic.
Watanzania wengi wamejaribu mara nyingi kumshauri aweke juhudi katika kuinua kiwango cha uchezaji wake kwa kuwaajiri hata kwa mwezi au miezi miwili akina Mutombo/Olajuwon (mmoja wao wakati wa offseason) lakini wapi!!!! Waswahili hawakukosea waliposema "kwenye miti hakuna wajenzi"
Kwa kweli hilo ndiyo jambo zuri Sana. Tuendelee kumuunga mkono ni balozi wetu. Mimi nashabikia OKC Kwasababu yumo mtanzania.
....daah.....hata hivyo Ibaka anatuwakilisha vizuri.....
Heat kamtundika tena Pacers leo 102-90.....now leading the series by 3-1
....halafu nimecheka kweli Stephenson alivyobanwa leo.....Hibbert ndio kabisaa.......now waende kuvua samaki...the so called "bonding moments"......lol
....daah.....hata hivyo Ibaka anatuwakilisha vizuri.....
....daah.....hata hivyo Ibaka anatuwakilisha vizuri.....