Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Indiana wanakila Nguvu za kumfunga Miami Heat au wangewafunga sasa hivi 3 ila tatizo Paul George hachezi vizuri na Kama vile hayupo Happy kengine timu inaonekana haina umoja Miami Bosh hachezi vizuri ila timu inaumoja na Ray Allen mpe achome tatu zake hata 6 utazipata. San Antonio na Heat ndio tutaziona Final.
Leo Ibaka kaleta tofauti ndani ya OKC....safi sana Ibaka...yaani Spurs leo nia yao moja tu kumuumiza Ibaka.....hata kijana wetu Hashim leo kapewa nafasi ya kucheza.....duuhh!.....
Leo Ibaka kaleta tofauti ndani ya OKC....safi sana Ibaka...yaani Spurs leo nia yao moja tu kumuumiza Ibaka.....hata kijana wetu Hashim leo kapewa nafasi ya kucheza.....duuhh!.....
![]()
Oklahoma City Thunder forward Serge Ibaka (9) gets up to block a shot by San Antonio Spurs forward Tim Duncan (21) in the first quarter of Game 3 of an NBA basketball playoff series of the Western Conference finals, Sunday, May 25, 2014, in Oklahoma City.
Ok si kujuwa Kama Wana beef basi wanaaribu Hibbert na Paul wakionana inakuwa game nzuri Hibbert chini ya Rim Mzuri jamaa Big anamikono mikubwa tabu hata kwa Bosh na Kwe Kweee bird man inakuwa tabu kumzuia Hibbert tumekosa kuona Paul George vs Lebron, Lance hamuwezi Lebron ujeuri ndio unamuweka pale Brave Kama TI kwa Floyd meiweather.nasikia kulikuwa na bifu kati ya Paul Vs Hibbert......sasa sijui inachangia overall performance....!!
Heat kamtundika tena Pacers leo 102-90.....now leading the series by 3-1
....halafu nimecheka kweli Stephenson alivyobanwa leo.....Hibbert ndio kabisaa.......now waende kuvua samaki...the so called "bonding moments"......lol
sasa leo sijui Stephenson atasemaje kuhusu LeBron.....jamaa mjinga sana.....analeta mambo ya mtaani wakati watu wako kikazi zaidi!!...........
nasikia kulikuwa na bifu kati ya Paul Vs Hibbert......sasa sijui inachangia overall performance....!!
Ok si kujuwa Kama Wana beef basi wanaaribu Hibbert na Paul wakionana inakuwa game nzuri Hibbert chini ya Rim Mzuri jamaa Big anamikono mikubwa tabu hata kwa Bosh na Kwe Kweee bird man inakuwa tabu kumzuia Hibbert tumekosa kuona Paul George vs Lebron, Lance hamuwezi Lebron ujeuri ndio unamuweka pale Brave Kama TI kwa Floyd meiweather.
Noma, inasemekana PG24 alikuwa anamkula mchumba wa Hibbert.
Leo Roy alikuwa anatilia huruma wakati yuko bench aisee, alikuwa kama haoni oni vizuri.