Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Nilikuwa nawaza hapa leo hii asubuhi baada ya kutoka mazoezini.
Kwamba Mwaka 2015 kulitokea sintofahamu katika uteuzi wa Mgombea wao.
Vurugu kati ya Befnard Membe na Edward Lowasa. Basi ilibidi wachakate akili haraka sana na wakaona Hayati Jpm angewafaa na wakafanikiwa.
Sasa je ikitokea kwa mfano sintofahamu kama ile Mwaka huu je ccm wanachaguo lingine la haraka haraka la kuziba pengo?