2015 CCM ilipokosa Mgombea anayekubalika ilibidi Wamchague Hayati Magufuli kupeperusha Bendera, Mwaka huu 2025 wakikosa Mgombea watakimbilia wapi?

Nilikuwa nawaza hapa leo hii asubuhi baada ya kutoka mazoezini.

Kwamba Mwaka 2015 kulitokea sintofahamu katika uteuzi wa Mgombea wao.

Vurugu kati ya Befnard Membe na Edward Lowasa. Basi ilibidi wachakate akili haraka sana na wakaona Hayati Jpm angewafaa na wakafanikiwa.

Sasa je ikitokea kwa mfano sintofahamu kama ile Mwaka huu je ccm wanachaguo lingine la haraka haraka la kuziba pengo?
Dr Nchimbi Balozi angalau anakubalika na amekuwa na ushawishi. hilo ndilo kimbilio la ccm lililo baki kwa sasa.
 
Mama angepata advantage kama angekubali reform ya kina lissu, huu mnyukano ndani ya chama chake usingetokea. Angekula shavu miaka mitatu kisha anang'atuka kwa heshima iliyotukuka na kumuachia mgombea wao mwingine agombee kwa reforms mpya.
 
hamna president figure mwingine hapo ccm, ccm mnaogopa sana watu wenye nia za dhati kwa maslahi ya wananchi

Labda wewe unaempinga MPINA, tupe list ya president figure wengine hapo ccm, hata watatu tu
Nchimbi, Mwigulu, Dotto, Bashungwa, Simbachawene
 
Mchakato wa mgombea CCM ulishakamilishwa na JK mbele ya wajumbe ambao huwa wanashangilia kila kitu kwa changwe zote bila kijali kipo sahihi au hapana. Cha msingi tu wahumbe hao uwahakikishie nauli na chakula.
Inasikitisha sana
 
Nilikuwa nawaza hapa leo hii asubuhi baada ya kutoka mazoezini.

Kwamba Mwaka 2015 kulitokea sintofahamu katika uteuzi wa Mgombea wao.

Vurugu kati ya Befnard Membe na Edward Lowasa. Basi ilibidi wachakate akili haraka sana na wakaona Hayati Jpm angewafaa na wakafanikiwa.

Sasa je ikitokea kwa mfano sintofahamu kama ile Mwaka huu je ccm wanachaguo lingine la haraka haraka la kuziba pengo?
Pale mtu mjinga anajifanya mjuaji.
 
Hawakuona Magufuli anafaa, walijikuta ndo aliyebakia baada ya ubinafai wao, hawakuwa na namna
 
Mungu anao watu, atajitwalia mtu km alivyojitwalia Daudi Toka machungani
Nilikuwa nawaza hapa leo hii asubuhi baada ya kutoka mazoezini.

Kwamba Mwaka 2015 kulitokea sintofahamu katika uteuzi wa Mgombea wao.

Vurugu kati ya Befnard Membe na Edward Lowasa. Basi ilibidi wachakate akili haraka sana na wakaona Hayati Jpm angewafaa na wakafanikiwa.

Sasa je ikitokea kwa mfano sintofahamu kama ile Mwaka huu je ccm wanachaguo lingine la haraka haraka la kuziba pengo?
 
Mungu anao watu, atajitwalia mtu km alivyojitwalia Daudi Toka machungani
Hakika....hata katika kundi la watu waliokengeuka, Mungu hujisazia watu wake kwa matumizi ya Baadae. Kule Sodoma na Gomora hakuna aliyejua kuna Mtumishi wa Mungu. Maana wanaume walikuwa wakiwalala wanaume wenzao na wakike wakilala na ndugu zao au wakipigwa nyuma. So Nchi nzima ilikuwa imedidimia kwenye dhambi.

Basi Bwana akajisazia Mtumishi Wake Lutu( Loti)
 
Tangu marehemu aweke precedence mbaya Kwa kuasisi utaratibu wa kuengua wapinzani, kutumia vyombo vya Dola kuingiza kura fake na zaidi kutangaza na kumuapisha aliyeshindwa Kwa mabavu na Wala wananchi hawachukui hatua; Sasa CCM hawana hofu ya kuteua mgombea, awe ana kubalika au la, wana uhakika wa ushindi.
 
Mi nadhani Steve mangele, aka Steve Nyerere, aka afisa wa Ikulu anafaa kupeperusha bendera ya urais mupitia CCM na akawa rais wa JMT, akajenge hoja nzito mbele ya Akina Trump na JD Vence huko....
 
Back
Top Bottom