Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
- Thread starter
- #41
HahahahaTuzungumzie 2030, mwaka huu ishatoka hiyk mkuu amka usingizini.
HahahahaTuzungumzie 2030, mwaka huu ishatoka hiyk mkuu amka usingizini.
Nchi inahitaji watu kama MPINA na bahati nzuri yupo humohumo ccm, nje ya hapo ni LISSUWampe mpina aje apime urefu wa dagaa kwa rula?? That stupidity won't resurface again
Sina mashaka kabisa na MPINA na ndio asset pekee ninayo iona ccm iliyobaki kwa sasa, kutoa mpina waliobaki wote ni mamlukiWafupishe mchakato au sio? Je Mpina anaweza kutuvusha?
Mwijaku yuko imara atawafaaNilikuwa nawaza hapa leo hii asubuhi baada ya kutoka mazoezini.
Kwamba Mwaka 2015 kulitokea sintofahamu katika uteuzi wa Mgombea wao.
Vurugu kati ya Befnard Membe na Edward Lowasa. Basi ilibidi wachakate akili haraka sana na wakaona Hayati Jpm angewafaa na wakafanikiwa.
Sasa je ikitokea kwa mfano sintofahamu kama ile Mwaka huu je ccm wanachaguo lingine la haraka haraka la kuziba pengo?
Na mademu 😁Mchakato wa mgombea CCM ulishakamilishwa na JK mbele ya wajumbe ambao huwa wanashangilia kila kitu kwa changwe zote bila kijali kipo sahihi au hapana. Cha msingi tu wahumbe hao uwahakikishie nauli na chakula.
Hilo ni jambo la hovyo?CgaDem mnawazia nchi mambo ya hovyo sana.
Duuh hii itakuwa aibu ya TaifaMwijaku yuko imara atawafaa
Mamluki kivipi wakati ni Watanzania na wana haki ya kugombea?Sina mashaka kabisa na MPINA na ndio asset pekee ninayo iona ccm iliyobaki kwa sasa, kutoa mpina waliobaki wote ni mamluki
Yeye ndio huteua mgombea wa chama chake?Mchakato wa mgombea CCM ulishakamilishwa na JK mbele ya wajumbe ambao huwa wanashangilia kila kitu kwa changwe zote bila kijali kipo sahihi au hapana. Cha msingi tu wahumbe hao uwahakikishie nauli na chakula.
Hakujawahi kutokea sintofahami yoyete kumhusu mgombea wa CCM 2015!, angalia tarehe ya bandiko hili Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
P
Whether waanze Mkutano Mkuu au Kamati Kuu, wenye maamuzi ya mwisho ni Kamati Kuu. Limeisha tafuta kazi nyingine ya kufanyaahaa kumbe wananza Mkutano Mkuu kwanza?
Ni Mpina akiwa waziri wa mifugo na uvuvi.Hahaha.....Hivi Alikuwa mpina au Ndumbaro?
Mpina ni kichaa hata Magufuli mwenyewe alikiri kuwa amemchagua kichaa mwenzie. Tanzania ni nchi ya wastaarabu kwa nini tutawaliwe na vichaa wakati watu wenye af???ya njema wapo?Nchi inahitaji watu kama MPINA na bahati nzuri yupo humohumo ccm, nje ya hapo ni LISSU
Wewe kwa hapo ccm umemuona nani anafaa
Watamchomeka PrinceNilikuwa nawaza hapa leo hii asubuhi baada ya kutoka mazoezini.
Kwamba Mwaka 2015 kulitokea sintofahamu katika uteuzi wa Mgombea wao.
Vurugu kati ya Befnard Membe na Edward Lowasa. Basi ilibidi wachakate akili haraka sana na wakaona Hayati Jpm angewafaa na wakafanikiwa.
Sasa je ikitokea kwa mfano sintofahamu kama ile Mwaka huu je ccm wanachaguo lingine la haraka haraka la kuziba pengo?
hamna president figure mwingine hapo ccm, ccm mnaogopa sana watu wenye nia za dhati kwa maslahi ya wananchiMpina ni kichaa hata Magufuli mwenyewe alikiri kuwa amemchagua kichaa mwenzie. Tanzania ni nchi ya wastaarabu kwa nini tutawaliwe na vichaa wakati watu wenye af???ya njema wapo?
Tumpe Nchimbi, CCM bado inahitajika upinzani bado hawajipanga vizuri kuendesha nchi. Lissu awe kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani.Nilikuwa nawaza hapa leo hii asubuhi baada ya kutoka mazoezini.
Kwamba Mwaka 2015 kulitokea sintofahamu katika uteuzi wa Mgombea wao.
Vurugu kati ya Befnard Membe na Edward Lowasa. Basi ilibidi wachakate akili haraka sana na wakaona Hayati Jpm angewafaa na wakafanikiwa.
Sasa je ikitokea kwa mfano sintofahamu kama ile Mwaka huu je ccm wanachaguo lingine la haraka haraka la kuziba pengo?
Huu ni uchafu upuuzweNilikuwa nawaza hapa leo hii asubuhi baada ya kutoka mazoezini.
Kwamba Mwaka 2015 kulitokea sintofahamu katika uteuzi wa Mgombea wao.
Vurugu kati ya Befnard Membe na Edward Lowasa. Basi ilibidi wachakate akili haraka sana na wakaona Hayati Jpm angewafaa na wakafanikiwa.
Sasa je ikitokea kwa mfano sintofahamu kama ile Mwaka huu je ccm wanachaguo lingine la haraka haraka la kuziba pengo?
Hafai, kateuliwa ki aina aina tuTumpe Nchimbi, CCM bado inahitajika upinzani bado hawajipanga vizuri kuendesha nchi. Lissu awe kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani.
Apewe MPINA anyooshe tena miaka kumiTumpe Nchimbi, CCM bado inahitajika upinzani bado hawajipanga vizuri kuendesha nchi. Lissu awe kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani.