Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Mpango ni kati ya wale ambao uraia wao hauko sawasawa waliotajwa na CDF Nkunda mwaka jana. Ndiyo maana katipisha 2025-30Mpango ndo anapasha

Wampe mpina aje apime urefu wa dagaa kwa rula?? That stupidity won't resurface againWampe MPINA tuendelee kuwaza mambo mengine
Mkutano Mkuu ndiyo wenye maamuzi ya mwisho. KAMATI Kuu ni ushauri/ mapendekezoKamati Kuu ilishakaa?
Nakuongezea kidogo, shika katiba ya ccm soma ibara ya 99 yote, halafu uje ufunge breki kwenye ibara ya 100(5)bKamati Kuu ilishakaa?
Na nimempa ibara!Mkutano Mkuu ndiyo wenye maamuzi ya mwisho. KAMATI Kuu ni ushauri/ mapendekezo
Nilikuwa nawaza hapa leo hii asubuhi baada ya kutoka mazoezini.
Kwamba Mwaka 2015 kulitokea sintofahamu katika uteuzi wa Mgombea wao.
Vurugu kati ya Befnard Membe na Edward Lowasa. Basi ilibidi wachakate akili haraka sana na wakaona Hayati Jpm angewafaa na wakafanikiwa.
Sasa je ikitokea kwa mfano sintofahamu kama ile Mwaka huu je ccm wanachaguo lingine la haraka haraka la kuziba pengo?
Kwani si wameshaapata mgombea!!?,,Nilikuwa nawaza hapa leo hii asubuhi baada ya kutoka mazoezini.
Kwamba Mwaka 2015 kulitokea sintofahamu katika uteuzi wa Mgombea wao.
Vurugu kati ya Befnard Membe na Edward Lowasa. Basi ilibidi wachakate akili haraka sana na wakaona Hayati Jpm angewafaa na wakafanikiwa.
Sasa je ikitokea kwa mfano sintofahamu kama ile Mwaka huu je ccm wanachaguo lingine la haraka haraka la kuziba pengo?
Asante nashukuru kwa hii reference nitapitiaNakuongezea kidogo, shika katiba ya ccm soma ibara ya 99 yote, halafu uje ufunge breki kwenye ibara ya 100(5)b
ahaa kumbe wananza Mkutano Mkuu kwanza?Mkutano Mkuu ndiyo wenye maamuzi ya mwisho. KAMATI Kuu ni ushauri/ mapendekezo
Hahaha.....Hivi Alikuwa mpina au Ndumbaro?Wampe mpina aje apime urefu wa dagaa kwa rula?? That stupidity won't resurface again
Luaga Mpina, mzalendo wa kweli ndiye anafaa kuwa rais wa Tanzania 🇹🇿Nilikuwa nawaza hapa leo hii asubuhi baada ya kutoka mazoezini.
Kwamba Mwaka 2015 kulitokea sintofahamu katika uteuzi wa Mgombea wao.
Vurugu kati ya Befnard Membe na Edward Lowasa. Basi ilibidi wachakate akili haraka sana na wakaona Hayati Jpm angewafaa na wakafanikiwa.
Sasa je ikitokea kwa mfano sintofahamu kama ile Mwaka huu je ccm wanachaguo lingine la haraka haraka la kuziba pengo?
Si kina Mwijaku wapo na kina stive Nyerere na kina baba LevoNilikuwa nawaza hapa leo hii asubuhi baada ya kutoka mazoezini.
Kwamba Mwaka 2015 kulitokea sintofahamu katika uteuzi wa Mgombea wao.
Vurugu kati ya Befnard Membe na Edward Lowasa. Basi ilibidi wachakate akili haraka sana na wakaona Hayati Jpm angewafaa na wakafanikiwa.
Sasa je ikitokea kwa mfano sintofahamu kama ile Mwaka huu je ccm wanachaguo lingine la haraka haraka la kuziba pengo?
... WAKIKOSA MGOMBEA SI NDIO VYAMA VINGINE VINAPATA FURSA!!!?Nilikuwa nawaza hapa leo hii asubuhi baada ya kutoka mazoezini.
Kwamba Mwaka 2015 kulitokea sintofahamu katika uteuzi wa Mgombea wao.
Vurugu kati ya Befnard Membe na Edward Lowasa. Basi ilibidi wachakate akili haraka sana na wakaona Hayati Jpm angewafaa na wakafanikiwa.
Sasa je ikitokea kwa mfano sintofahamu kama ile Mwaka huu je ccm wanachaguo lingine la haraka haraka la kuziba pengo?
Nani unadhani anaweza kuwa mbadala?... WAKIKOSA MGOMBEA SI NDIO VYAMA VINGINE VINAPATA FURSA!!!?
CCM SIO MUNGU WETU!
... WE JUST NEED ANOTHER A.S.S.HOLE!Nani unadhani anaweza kuwa mbadala?
Hakujawahi kutokea sintofahami yoyete kumhusu mgombea wa CCM 2015!, angalia tarehe ya bandiko hili Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe MagufuliKwamba Mwaka 2015 kulitokea sintofahamu katika uteuzi wa Mgombea wao.
Vurugu kati ya Befnard Membe na Edward Lowasa. Basi ilibidi wachakate akili haraka sana na wakaona Hayati Jpm angewafaa na wakafanikiwa.
Bandiko Lipi Kaka PascalHakujawahi kutokea sintofahami yoyete kumhusu mgombea wa CCM 2015!, angalia tarehe ya bandiko hili
P