2015-uchaguzi mkuu na hatma ya nchi

2015-uchaguzi mkuu na hatma ya nchi

ZeMarcopolo

Marekani
inawatu milioni 300, wanaochukua fomu katika vyama vyote, hawazidi wagombe wa CCM.

Uingereza ina watu milioni 80. Wanaochukua fomu hawazidi idadi ya wagombea wa CCM.
Kwamba, Tanzania ina watu 45Milioni ina justify kuchukua fomu kwa mamia, haina mashiko.

Pili,wakatiwa Mwinyi waliochukua fomu hawakuzidi 10.
Wakati Kikwete anagombea hawakuzidi 10
kwa ccm,if memory serves me right

Miaka 10 iliyopita CCM ilikuwa na watu hawa, Dr Salim, SindeWarioba, CD, Msuya, JS Malecela.
Hawa walikuwa na sifa za uongozi kimaadili,kiuzoefu na kitaaluma.

Haina maana hakukuwepo na watu wenye nia, walikuwepo, suala ni kuwa, nani alijipima kupokea kijiti kutoka kwa Nyerere anayekaribia hao?

Katika vifaa hivyo vitano, hakuna aliyekuwa Rais. Hao ndio waliomchagua na kumsaidia Rais kwa kutumia busara zao.

Mwinyi alichaguliwa kwa mtazamo wa busara tukijua alikuwa makamu na suala zima la muungano

Kinachotokea sasa hivi, kwanza, ni udhaifu wa uongozi.

Wanaojitokeza ni wasaidizi wakuu wa Rais aliyepo na ndio wanatuletea kauli mbiuy a rushwa na ufisadi.
Maana yake wanauona udhaifu uliopo. Wengine wanasema elimu au kilimo kwanza. Wanachokifanya ni ku explore weakness ya kiongozi waliomsaidia.

Kila mmoja anaona angeweza kufanya vizuri zaidi. Ni udhaifu tu.

Kundi lingine linatafuta umaarufu. Tumeeleza huko nyuma,Kuga Mziray alihutubia viti.
BMLK alikuwepo kama mpinzani kwasababu uwepo wake ulishaonekana. Hawa wa CCM wanatafuta nafasi tu.

Hoja kuwa ni kupanuka kwa demokrasia ni kweli kwasababu demokrasia ni kitu cha ajabu kidogo.
Inaweza kukupa matokeo mazuri au mabaya.

DemokrasiA ilimtengeneza Lady Thatcher
miaka 11ikamuondoa kwa aibu siku moja.

Demokrasis ilimtengeneza Ronald Regan akajenga uchumi waMarekani, ikamleta G.Bush , recession ikaingia

Kupanuka kwa demokrasia kumetupatia Kibajaji wa Dodoma na kupitia kwake tumepata wazo la kuondoa picha za wanyama,' thamani ya pesa yetu ipande''

Bandiko linalofuata tutakuonyesha udhaifu wa uongozi wa CCM unaoleta wingu la watia nia.

Jinsi EL anavyoiyumbisha CCM bila sababu za msingina na jinsi CCM inavyomugopa

Tusemezane
Mkuu Nguruvi3.

Kuweka kumbukumbu sawa unasema watia nia wa Marekani kugombea urais wanazidiwa na wa CCM siyo kweli. Tuangalie kiduchu orodha ya watia nia wa Marekani wa vyama vikubwa viwili.

OTHER REPUBLICANS😛ogo Mochello Allen-Reese (Texas)John Anderson Jr. (California)-Skip Andrews (Kansas)Ray Antley Jr. (North Carolina)-George Bailey Jr. (Mississippi)Michael Baldwin (Missouri)-Danielle Berhane (Arizona)-Michael Bickelmeyer (Ohio)-Virgil Bierschwale (Texas)John Bizga (New Jersey)-Tony Bonificia Jr. (New York)-Kerry Bowers (Nevada)Dominique Brown (Pennsylvania)George Brucato (Nevada)-Gary Caissie (Oklahoma)-Francis Castleberry (Florida)Dale Christensen (Missouri)-Brian Ari Cole (Pennsylvania)-Scott Cole (North Carolina)Melody Crombie (Maryland)-Ezekiel George Crotzer (Michigan)Brooks Cullison (Illinois)Tim Day (Texas)-Paul DeBow (Louisiana)-Paul Delong (Pennsylvania)-Mike Diggs (Arkansas)Kenneth Donaldson (Texas)-Patrick Drake (Georgia)-Wanda Duckwald (Oklahoma)-Douglas Duke (Alabama)-Ronald Duke (Alabama)-John Dummett Jr. (California)Nicholas Evans (Oklahoma)-Stuart Farber (Florida)Jack Fellure (West Virginia)Bruce Gidner (Michigan)-Jim Hayden (Tennessee)Eugene Hunt Jr. (Michigan)-Justin Hyde (California)-Kins Jeroboan (New York)Roger Jewell (Arizona)D. Royce Jones (Texas)Tyrone Julius (District of Columbia)-Brenda Justice (New York)-Tim Kalemkarian (California)Marc Keller (Oregon)-Michael Kinlaw (Colorado)-John Lee (Texas)-Jerry Leonard (North Carolina)-Renee Loetscher (Florida)-Aurora Lopez (Washington)-Bartholomew James Lower (Michigan)-Dennis Michael Lynch (New York)Joan Malone (District of Columbia)Barbara Mae Markovich (Montana)-Mike Martisko (Pennsylvania)Mickey Meade (California)-Raymond Miller (Idaho)Tiffani Mims (Texas)James Mitchell Jr. (Illinois)Timothy Moore (Washington)K. Ross Newland (Illinois)Scot Olewine (Puerto Rico)Richard Peter (Texas)-Michael Petyo (Indiana)Deshon Porter (Illinois)Kenny Rodeo (Colorado)-Jim Rundberg (Colorado)Brian Russell (Florida)-Douglas Sabbag (Florida)-Ole Savior (Minnesota)-Larry Scarborough (California)-Jefferson Sherman (Maryland)Mark Sleggs (New York)-Jeffrey Smith (Florida)-Silvia Stagg (New York)Shawna Sterling (Kentucky)Joseph Stetson (South Carolina)-Sherlene Stevens (District of Columbia)Rickey "Joe" Story (Florida)Michael Szczepanski New York)-Dwayne Tomlinson (Florida)Vern Wuensche (Texas)-Kaye Wyman (North Carolina).

Wengine hawa hapa...

OTHER DEMOCRATS:Brandon Armstrong (South Carolina)Warren Ashe (Florida)Howell Astor (North Carolina)-Edie Atkinson-Bukewihge (California)James Bell (Ohio)-John Blyth (Illinois)Morrison Bonpasse (Maine)Meridi Richardson Bosley (Arizona)Jeff Boss (New Jersey)-Philip Bralich (California)-Harry Braun (Georgia)-Arthur Brooks Jr. (Texas)President Emperor Caesar (Florida)-Andy Caffrey (California)Willie Carter (Texas)Brittany Clark (California)Richard Coleman (Florida)-Kristi Dutton (Arizona)-Larry Ealy (Ohio)Ronald Emrit (Nevada)-Nicholas Erwin (North Carolina)-John Forsyth (Maine)-Susan Gelber Ott (Virginia)-Gabriel Gomez (Georgia)-Christin Noel Griskie (Florida)-Gerald Hankins (Pennsylvania)-Charles Hodge (California)-Larry E. Johnson (Colorado)Gayle Jones-Taylor (California)-Glenn Kaminsky (California)Mohammed Keita (New York)-Lloyd Kelso (North Carolina)-Jonathan Lavigne (West Virginia)-James "Titus The Great" Law ( California)Matthew Linder (California)-Ryan Lipner (Florida)-L.R. "Skip" Maul Jr. (Arizona)-Limberbutt McCubbins (Kentucky)-Michael McMenemy (Pennsylvania)-Lee Mercer Jr. (Tennessee)Daniel "Tool" Michaels (Florida)-Loretta "Leah Lax" Miller (Pennsylvania)-David Mills (West Virginia)-Rome Murphy II (New Jersey)-James Ogle III (California)Daniel Owens (Oregon)-Harry Pavilack (South Carolina)-Margie Penn (Tennessee)-Mary Aku Quartey (Maryland)-John Raffone (Florida)-Lee Rhodes (New York)Doug Schreffler (California)-Will Schroeder (Illinois)-Angelo Scrigna (Hawaii)-Jerome Singleton Jr. (Louisiana)-Nicholas Sopkovich (California)Michael Steinberg (Florida)Ray Uhric (Pennsylvania)John Walsh III (Pennsylvania)Richard Weil (Colorado)Robby Wells (North Carolina)Elaine Williams (Florida)Willie Wilson (Illinois)Jeffrey Windett (West Virginia)-Brad Winslow (California)-Thomas Winterbottom (Pennsylvania)John Worldpeace (New Mexico).

Ahsante....Tusemezane.
 
Last edited by a moderator:

Nasuburi nguruvi3 aje kubisha,hakubali kuteleza
 
Last edited by a moderator:
Ritz na Adharusi ,kawaida yenu ni kuleta hoja zisizo na mashiko ili kuvuruga mjadala.

Kwanza, someni bandiko langu kwa undani. Nimeeleza Marekan iina watu milioni 300 na Tanzania 45.
Kwa idadi ya wagombea bado wa CCM ni wengi nikijbu hoja ya ZeMarcopolo

Pili, sijui kutia nia kuna maana gani. Kwa tunavyoelewa wengine, kutia nia ni kuingiza jina katika preliminary elections ambako kwa CCM ni kuchukua fomu.

Kutia nia tunakoongelea sisi si kutamka, ni kuingia katika ushindani.

Ukiangalia Dem Marekani, mwaka 2008 walioingia na kutianiaObama, Biden, Clinton H, Kucinic,Dodd, Richardson, Gavel, Edward ,Bahy, Vilsack.

Hao ndio waliingia katika hatua za chaguzi za awali ndani ya chama wakiwa 10.

Pia wapo walioandikisha katika tume wapatao 12. Na wapo waliokataa kuingia katika uchaguzi akiwemo Al Gore, Clark, Sharpton, Kerry,Feingold
n.k

Hata kwa kufikiri kijinga jinga, bado nchi yenye watu milioni 300 vs 45 uwiano haupo isipokuwa tu kwa waliojitoa fahamu

Jana Jeb kachukua Fomu akiwa mtu wa 10 katika Republican
.Idadi itaongezeka na tu assume inafikia 40. Je, bado kuna hoja ?

Ritz alichokileta ni majina ya watu ili kutengeneza ubishi,kuvuruga mjadala na kuingiza jamvi kule anakotaka.

Nadhani tukubaliane naoi ili tupate nafasi ya kusoma habari zenye tija.

Hili tulifunge na tuwaombe tu wakubali hoja yetu kuwa tunakubaliana nao! Inatosha. Nawaomba radhi, hili lisitupoteze
 
Just setting the record straight.

Mazee watu waliochukua fomu za kugombea urais Marekani ni angalau 366.

Ukianza kuwahesabu mmoja kila siku itakuchukua mwaka mzima kuwamaliza.

http://www.nytimes.com/politics/fir...al-candidate-list-grows-366-and-growing/?_r=0
 
Wangapi waliingia primary elections? tunadhani hao ndio kama hawa wa CCM au !

CCM hawajaanza na hawana primaries katika urais.

Primaries wananchi/ chama wanachagua (Iowa, New Hampshire etc). Bongo hamna kitu kama hicho.

Infact hata mchakato wa kupata wadhamini, ambao ungeweza kuwa kama primary fulani, CCM waneuzuma kwa kukataa wagombea kusajili wadhamini zaidi ya wanaotakiwa.
 
CCM hawajaanza na hawana primaries katika urais.

Primaries wananchi wanachagua (Iowa, New Hampshire etc). Bongo hamna kitu kama hicho.

Yes, nakubaliana nawe 100%, ninachosema je, hii kwa CCM haifananina primary elections za Marekani? Maana yake si kupata anayebeba bendera yachama!

Haifanani na primary election in the sense kwamba primary election wananchi au wanachama wanachagua, kwetu hakuna hilo.

Wagombea wanaenda kuchujwa na vikao vya chama bila wananchi au wanachama kuwapigia kura.

Kwa hiyo kusema wale 366 jawajakwenda kwenye primaries ni moot kwa sababu sisi hatuna primaries. Tuna kutangaza nia tu.Kitu ambacho hata wale 366 wamefanya.
 
Haifanani na primary election in the sense kwamba primary election wananchi au wanachama wanachagua, kwetu hakuna hilo.

Wagombea wanaenda kuchujwa na vikao vya chama bila wananchi au wanachama kuwapigia kura.

Kwa hiyo kisema wale 366 jawajakwenda kwenye primaries ni moot kwa sababu sisi hatuna primaries. Tuna kutangaza nia tu.
Ndio nakubaliana nawe, ninachohoji mwisho wa siku madhumuni ni nini
 
Madhumuni ya nini? Kuwa na wagombea wengi?
Njia yoyote inayotumika iwe ya primaries au ya kuteua kamaCCM au kama ya Labor party, mwisho wa zoezi hilo unakusudia nini kwenye uchaguzi?
 
Njia yoyote inayotumika iwe ya primaries au ya kuteua kamaCCM au kama ya Labor party, mwisho wa zoezi hilo unakusudia nini kwenyeuchaguzi?

Kupata mgombea urais.

I don't know where you are going with this.

Nilichotaka ku point out ni kwamba kuna issue ya proportionality kati ya population yetu na namba ya wagombea ukitulinganisha na Wamarekani.

Mpaka sasa Wamarekani wana uwakilishi wa takriban kila watu milioni moja wana mgombea mmoja wa urais. The population of the US being about 320 million and that of aspirants being 366. That is a 1 to 0.87 aspirant to population ratio.

Sisi tuna watangaza nia wangapi kwa population yetu ya 50 million?

We will need about 56 to keep up with the Kardashians.
 
Ritz na Adharusi ,kawaida yenu ni kuleta hoja zisizo na mashiko ili kuvuruga mjadala.

Kwanza, someni bandiko langu kwa undani. Nimeeleza Marekan iina watu milioni 300 na Tanzania 45.
Kwa idadi ya wagombea bado wa CCM ni wengi nikijbu hoja ya ZeMarcopolo

Pili, sijui kutia nia kuna maana gani. Kwa tunavyoelewa wengine, kutia nia ni kuingiza jina katika preliminary elections ambako kwa CCM ni kuchukua fomu.

Kutia nia tunakoongelea sisi si kutamka, ni kuingia katika ushindani.

Ukiangalia Dem Marekani, mwaka 2008 walioingia na kutianiaObama, Biden, Clinton H, Kucinic,Dodd, Richardson, Gavel, Edward ,Bahy, Vilsack.

Hao ndio waliingia katika hatua za chaguzi za awali ndani ya chama wakiwa 10.

Pia wapo walioandikisha katika tume wapatao 12. Na wapo waliokataa kuingia katika uchaguzi akiwemo Al Gore, Clark, Sharpton, Kerry,Feingold
n.k

Hata kwa kufikiri kijinga jinga, bado nchi yenye watu milioni 300 vs 45 uwiano haupo isipokuwa tu kwa waliojitoa fahamu

Jana Jeb kachukua Fomu akiwa mtu wa 10 katika Republican
.Idadi itaongezeka na tu assume inafikia 40. Je, bado kuna hoja ?

Ritz alichokileta ni majina ya watu ili kutengeneza ubishi,kuvuruga mjadala na kuingiza jamvi kule anakotaka.

Nadhani tukubaliane naoi ili tupate nafasi ya kusoma habari zenye tija.

Hili tulifunge na tuwaombe tu wakubali hoja yetu kuwa tunakubaliana nao! Inatosha. Nawaomba radhi, hili lisitupoteze
Tatizo lako Nguruvi3 uwa hautaki kusahishwa kama umeteleza wewe ni binadamu kuteleza sifa ya binadamu Umesema hivi.

Marekani inawatu milioni 300, wanaochukua fomu katika vyama vyote, hawazidi wagombe wa CCM.

Watu wanakufahamisha unasena tunataka kuchafua mjadala na bado unapinga hiyo list.

Haya bana endelea na uzi wako tusije kukuchafulia mjadala wako.
 
Last edited by a moderator:
Kupata mgombea urais.

I don't know where you are going with this.

Nilichotaka ku point out ni kwamba kuna issue ya proportionality kati ya population yetu na namba ya wagombea ukitulinganisha na Wamarekani.

Mpaka sasa Wamarekani wana uwakilishi wa takriban kila watu milioni moja wana mgombea mmoja wa urais. The population of the US being about 320 million and that of aspirants being 366. That is a 1 to 0.87 aspirant to population ratio.

Sisi tuna watangaza nia wangapi kwa population yetu ya 50 million?

We will need about 56 to keep up with the Kardashians.
Kiranga,

What's the significance of that proportionality to democracy?
 
Last edited by a moderator:
Vyama vyote vya siasa kwa mujibu wa sheria vinawajibika kuwasilisha ripoti ya mahesabu yao kwa msajili wa vyama (au CAG kama sijakosea) na mpaka sasa sijawahi kusikia msajili wa vyama au CAG akihoji juu ya matumizi ya vyama hivi vya siasa kwamba hayako sawa! Hata hivyo hio haizuii kujadiliwa kwa ufisadi wowote ule kwenye vyama (kama upo). Hakuna sababu ya kupindisha mjadala wa ufisadi kwa viongozi waliopo sasa kwa vile tu hata upinzani nako kuna ufisadi!
Mwalimu,

Tukichukulia CCM kama mfano:

Kuelekea October, CCM imepokea magari mapya (land cruisers Mpya) kwa ajili Ya Ofisi zake Zote nchini, mikoa na wilaya zote nchini. Kwa hesabu za haraka haraka, magari haya hayapungui 150. Je chanzo Cha Hizi fedha ni ruzuku za Chama?

Kuelekea October, CCM ina Toyota Rav 4s Mpya Kwa ajili Ya Ofisi za uvccm Nchi nzima, je hizi Ni fedha za ruzuku?

CCM imekamilisha ujenzi wa ukumbi wake Mpya wa mikutano Dodoma uliogharimu millions of dollars. Je chanzo ni ruzuku? Wataalamu pia watujuze juu ya hilo. Taarifa zilizopo ni kwamba ukumbi huo umegharamiwa na mfanyabiashara mmoja nchini Mwenye kashfa Ya kuhujumu Uchumi.
 
Mchambuzi:

Wewe ni CCM. Tukuulize wewe mmetoa wapi pesa? Ukitaka jibu kutoka kwangu nitakwambia kuwa CCM hamjawahi kutenganisha shughuli za chama na za kiserikali.Bado mnaendesha nchi kwa kutumia mfumo wa chama kimoja.

Kashfa ya gavana wa benki (Daudii Balali) inahusiana kwa kiasi Fulani na uchaguzi wa 2005. Kashfa ya EPA na inahusiana na uchaguzi wa 2005. Tuwaulize mwaka huu mnatumia account gani?

Sasa hivi dollar moja ni zaidi ya shilling 200,000 . Tunaambiwa kuwa kushuka kwa thamani ya shillingi kunatokana na manunuzi ya mabehewa ya treni. Lakini kwanini kila kwenye uchaguzi ambao CCM inaleta mgombea mpya, matumizi ya serikali yanapanda? Au Pesa inashuka thamani? Is this my conspiracy theory?
 
Mpaka sasa Wamarekani wana uwakilishi wa takriban kila watu milioni moja wana mgombea mmoja wa urais. The population of the US being about 320 million and that of aspirants being 366.

Hivi bado tu hawajaongezeka?

Hiyo idadi ni ya lini?

Ilimjumuisha Jeb Bush na Donald Trump [ambaye inasemekana anaweza kutangaza leo]?
 
Kupata mgombea urais.

I don't know where you are going with this.

Nilichotaka ku point out ni kwamba kuna issue ya proportionality kati ya population yetu na namba ya wagombea ukitulinganisha na Wamarekani.

Mpaka sasa Wamarekani wana uwakilishi wa takriban kila watu milioni moja wana mgombea mmoja wa urais. The population of the US being about 320 million and that of aspirants being 366. That is a 1 to 0.87 aspirant to population ratio.

Sisi tuna watangaza nia wangapi kwa population yetu ya 50 million?

We will need about 56 to keep up with the Kardashians.

Kwa kuongezea tu. Tukifanya uchunguzi wa kitakwimu, waliochukua fomu CCM na wenye uhakika wa kupata nafasi ya kugombea urais kupitia chama hicho hawazidi watano. Ukimpa mtanzania yoyote swali la kutaja majina ya watu watano kutoka CCM, wengi watafanikiwa kutaja majina angalau ya watu watatu. Hata wale ambao hawafuatilia masuala ya kisiasa watafanikiwa kwenye zoezi hilo kwa ufanisi mkubwa.

Kwa upande wangu sioni tatizo wanaCCM kutangaza nia kwa wingi. Wapo wanaotaka umaarufu wa dakika 15. Wengine wanataka kujitambulisha kwenye ulingo kwa miaka inayokuja. Na wengine wanataka tusiwasahu
 
Tufanyie huo uchunguzi wa kitakwimu to justify the number "5".

That's the bottom line.
 
Takwimu zangu za facebook zinaonyesha Lowassa. Japokuwa moyo wangu ungependelea mwingine. Watu ambao wanamuwekea kauzibe, tayari wako upinzani. Hivyo juhudi zao zinaweza zisiwe na mabadiliko yoyote.
 
Back
Top Bottom