2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Hahahah, Unakumbuka Mexico WC 2018 walipenda 120 na Brazil, walipigwa Asubuhi tu, ndio nawaona hawa, mutu za Congo zinacheza club imara zenye kupambana so 120 haziwasumbui sana
Hizi hatua za mtoano, watu huwa wanakakamaa sana, sijui nguvu huwa wanazitoa wapi...

Tusubiri dk 30 zitimie...
 
Kumekuwa na mageuzi ya mpira toka hatua hii ianze...Morocco kutoka na jana Egypt kutoka.

Ila leo mapema nipo upande wa mwaarabu....Huyo Algeria ni mgumu saana.
 
Write your reply...
mara nyingi huwa sikosei
nilishasema congo anatoka mkabisha! haya sasa
chama langu madagascar halijawahi kuniangusha
ila kwa kweli congo mwishoni aliamka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…