Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Macongo ndio tanacheza kama mechi ni dk 10 za mwanzo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi hatua za mtoano, watu huwa wanakakamaa sana, sijui nguvu huwa wanazitoa wapi...Hahahah, Unakumbuka Mexico WC 2018 walipenda 120 na Brazil, walipigwa Asubuhi tu, ndio nawaona hawa, mutu za Congo zinacheza club imara zenye kupambana so 120 haziwasumbui sana
Penat shoot out, naweka shilingi Congo watapita
Hii mechi iwe draw tu tushuhudie penati....siku nyingi hatujaziona.Meshack Elia anatumia mkorogo kabisa
Penat shoot out, naweka shilingi Congo watapita
Hii mechi iwe draw tu tushuhudie penati....siku nyingi hatujaziona.
Hizi timu siwezi hata zitabiri....lolote laweza kutokea kipa wote wazuri.Zimefika sasa, karata yangu MAD
Mkuu hawa itakua version mpya si ile tuloizoeaHiv hawa ni madagascar wapi hao mbn siwajui
Africa Mashariki na kati wote chalii!Zahera out