Nipo nagaagaa na mkeka wanguNingeumia sana kama Algeria wangetoka maana mpaka mashindano yameanza hawajafungwa.na hiyo pekee inathibitisha juhudi walizonazo hawa makomandoo,,hakika wamekuwa washindani si washiriki.
Hope hamtaniangusha mpaka final babake,,,
Mkeka wangu unajieleza wenyewe mkuu
Mkeka wangu unajieleza wenyewe mkuu
Wamejitahidi SanaHatimae dawa ya Madagascar imepatikana. Ila pongezi sana kwao.
No! anastahili kucheza fainaliNi halali ya Algeria kushindwa kwenye matuta kachezea nafasi.
Algeria kidogo wanichanie mkeka, moyo ulianza kwenda mbio..Mambo yamepamba moto
Algeria kidogo wanichanie mkeka, moyo ulianza kwenda mbio..
Yule jamaa aliyekosa penati ameijutia sana, ila bahati ilikuwa bado upande wao
Write your reply...
dah maskini mkeka wanguu
Wamejitahidi Sana
Nipo nagaagaa na mkeka wanguView attachment 1151714
Write your reply...
mkuu adolay naamini senegal hawatoniangusha hao mbwa wengine wanatulaza njaa
Naombeni matokeo yote hapa
Nipo nagaagaa na mkeka wanguView attachment 1151714
Nipo nagaagaa na mkeka wanguView attachment 1151714
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Upo vizuri mkuu [emoji3]