2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Ningeumia sana kama Algeria wangetoka maana mpaka mashindano yameanza hawajafungwa.na hiyo pekee inathibitisha juhudi walizonazo hawa makomandoo,,hakika wamekuwa washindani si washiriki.


Hope hamtaniangusha mpaka final babake,,,
Nipo nagaagaa na mkeka wangu
IMG_20190709_092223.jpg
 
Algeria kidogo wanichanie mkeka, moyo ulianza kwenda mbio..

Yule jamaa aliyekosa penati ameijutia sana, ila bahati ilikuwa bado upande wao


Lakini mpira wa Algeria kama Ivory coast
- wasumbufu kwa marefarii wanashinikiza sana maamuzi mabovu hasa Algeria

- wanacheza mpira wa nguvu sana na vurugu

- Majeuri wasiopenda kupigiwa filimbi wanapokosea

- Bahati nzuri hawajakumbana na refarii kiburi kama wao hakika watapata tabu sana

- kwa discipline ya Algeria......labda wabadirike world cup tuhesabu maumivu...wazungu watatumaliza kwa makadi hatua za makadi

Binafsi Algeria hawajanivutia kama ilivo kwa Ivory coast ni timu mbili sijazipenda kwa kiburi, jeuri , dharau na RAF nyingi za kijingajinga
 
Back
Top Bottom