Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Nipo nagaagaa na mkeka wanguNingeumia sana kama Algeria wangetoka maana mpaka mashindano yameanza hawajafungwa.na hiyo pekee inathibitisha juhudi walizonazo hawa makomandoo,,hakika wamekuwa washindani si washiriki.
Hope hamtaniangusha mpaka final babake,,,