Mbona siwaoni taifa star wakuu kwani walishatolewa
Hizi mechi za nusu fainali zitakua zakukamiana Sana hasa hawa Algeria na Nigeria maana pesa aliyoahidi Dangote si mchezo lazima Nigeria akamie.
Algeria na Tunis wanapita. Algeria bingwa mark my words mkuu.
Hawezi kuhama chama langu algeria.
Kaahidi ngapi?Hizi mechi za nusu fainali zitakua zakukamiana Sana hasa hawa Algeria na Nigeria maana pesa aliyoahidi Dangote si mchezo lazima Nigeria akamie.
Mechi zinaanza saa ngapi mkuu
Ok, ipi mechi inatangulia?Kama kawaida saa moja jion yaani 1900hrs EAT
Ok, ipi mechi inatangulia?
Nimefika mbele ya screen hapa ngoja tuone mbabe wa leoSenegal vs Tunisia mkuu