Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Na mbaya zaidi walipomhusisha Mwenyekiti wa wenye Div 0,hapo ndipo nkajua hatuwezi fika popote.
Nashauri mzee kilomoni hati ya taifa stars akae nayo yeye maana ccm wanaweza ikopea pesa
Mmeacha Kuzungumza Mpira MnAANza Kuzungimza Siasa, Acheni Upuuzi
Punguza tumbo kwanza ndiyo utaelewa nani aliyeanza siasaMmeacha Kuzungumza Mpira MnAANza Kuzungimza Siasa, Acheni Upuuzi
Kwa Hyo Kusema Kule Ndio Kumewafanya Wafungwe, Wachezaji Wenu, Hawana mawasiliano, Hawapeleki mpira mbele, Wanapiga chenga hawawezi. Mtu anakokota mpira mpaka anaporwa. Wanasubiri mpira uwafikie hawafati halafu lawama Ccm, Pumbavu ZenuPunguza tumbo kwanza ndiyo utaelewa nani aliyeanza siasa
Na ndo maana walio wengi wanaiombea kipigoWala sio kwa sababu haipendwi, manake pamoja na kutopendwa huko, haya yasingekuwa yanajitokeza kama sio uoumbavu wa CCM! Sie wengine tunajitahidi sana kutenganisha siasa na masuala ya kitaifa lakini WAPUMBAVU WA CCM wakiongozwa na MPUMBAVU HUMPHREY POLE POLE ndio wanaosababisha yote haya! Endapo Stars wangeshinda, huyu Mpumbavu Polepole angetoka mbele na kutamba wameshinda kutokana na umaridadi wa CCM na utawala wa awamu ya 5. Kwa mambo kama haya, ndipo hata sie wengine tukitulia baada ya maumivu, tunasema, potelea mbali tufungwe tu hata kama ni magoli 10 ingawaje tunajua huko duniani sio aibu ya CCM! Lakini wengi tupo Bongo, kwahiyo potelea mbali, tufungwe, NO wafungwe tu!!
hawa CCM wajinga sana wenzao wanapeleka wachezaji wao wanapeleka waremboNi kweli kabisa.. ccm wanatamani kila kitu kiwe chao na ndio wanaharibu.
Mfano mwingine ukiacha taifa stars ni atcl.
hivi wewe unaweza kufanya kazi vizuri huku bosi kakudhulumu mshahara au unajiropokea tuKwa Hyo Kusema Kule Ndio Kumewafanya Wafungwe, Wachezaji Wenu, Hawana mawasiliano, Hawapeleki mpira mbele, Wanapiga chenga hawawezi. Mtu anakokota mpira mpaka anaporwa. Wanasubiri mpira uwafikie hawafati halafu lawama Ccm, Pumbavu Zenu
Waambie walioigeuza kuwa timu ya kutekeleza Ilani ya CCM ndo waache upuuzi.Mmeacha Kuzungumza Mpira MnAANza Kuzungimza Siasa, Acheni Upuuzi
Kama ni mfuatiliaji wa mpira Bocco si mchezaji anaetumia miguvu ni akili zaidi, uchezaji wake huonekana na anapokuwa na viungo wazuri na si wazuri tu wataofanya apate mipira mara kwa mara! Tofauti na hapo Bocco utamuweka level moja na kina SalambaKati ya mchezaji ambaye sijawahi kumuamin ni Boko.
Wamefunga?Algeria 1
2-0 mahrez katupia sasa hiviWamefunga?