Tufungwe mechi zote 2, tukikutana sisi tutoe droo turudi nyumbani kuja kuendelea na mambo mengineKenya na Taifa Stars hawachekani
Mechi ijayo itahusisha vibonde Tanzania Vs KenyaTufungwe mechi zote 2, tukikutana sisi tutoe droo turudi nyumbani kuja kuendelea na mambo mengine
ukiona kikosini himidi mao jua tushafungwa1. Kocha hajui kupanga kikosi na wala haja train wachezaji.. nadhani alikua anawapeleka mazoezi na yeye ana kaa pembeni kusubiri kuwarudisha hotelini.
2. Wachezaji wengi ni wazito kufanya maamuzi. Kukaa na mpira bila kuangalia fursa zilizopo azitumie.
3. Wachezaji wengi wanatamani kucheza kistar wakati uwezi wao ni ligi ya mchangani.
4. Wachezaji wengi hawajui kupiga pasi.. sijui miguu inatetemeka?
5. Wachezaji wengi hawaji amini.
Ushauri.. wasikate tamaa.. bado tuna nafasi. Leo ndio nimeona Mungu yupo na watanzania maana tulitakiwa tupigwe 10-0.
Naiona timu yetu kama inarudi na 0 puintMechi ijayo itahusisha vibonde Tanzania Vs Kenya
Alafu ya mwisho tutakutana na hawa waliowahi kutupiga saba
Jamaa simkubali kabisa yaani..ukiona kikosini himidi mao jua tushafungwa
Juhiudi za awamu ya tanoSema ni makosa ya timu ya CCM...!
CCM waliamua kuipora na kuigeuza ni yao,hivyo ni vizuri waendelee nayo!
Ni kweli kabisa.. ccm wanatamani kila kitu kiwe chao na ndio wanaharibu.
Mfano mwingine ukiacha taifa stars ni atcl.
Mmeacha Kuzungumza Mpira MnAANza Kuzungimza Siasa, Acheni Upuuzi