2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

1. Kocha hajui kupanga kikosi na wala haja train wachezaji.. nadhani alikua anawapeleka mazoezi na yeye ana kaa pembeni kusubiri kuwarudisha hotelini.


2. Wachezaji wengi ni wazito kufanya maamuzi. Kukaa na mpira bila kuangalia fursa zilizopo azitumie.

3. Wachezaji wengi wanatamani kucheza kistar wakati uwezi wao ni ligi ya mchangani.

4. Wachezaji wengi hawajui kupiga pasi.. sijui miguu inatetemeka?

5. Wachezaji wengi hawaji amini.


Ushauri.. wasikate tamaa.. bado tuna nafasi. Leo ndio nimeona Mungu yupo na watanzania maana tulitakiwa tupigwe 10-0.
ukiona kikosini himidi mao jua tushafungwa
 
Tuna upungufu mkubwa wa wachezaji... Wenye kiwango cha World class.. Wengi wao ni ndondo Class
 
Mie nawaza mbali sana
Hivi kuna wabunge wameenda Misri kuitazama na kuipa sapoti hii timu?
Duh
Hasara mara mbili hapo
coz wameenda naamini kwa hela za kodi yetu
na
timu ya wahuni nayo imepigwa 2
sasa bora tungepoteza kimoja na tukaokoa kingine
Kuliko kupoteza vyote!
 
Binafsi Baada Ya Kuangalia Game Kwa Dakika 45 Za Mwanzo Nikagundua Moja Kwa Moja Napoteza Mbs Zangu Bure.

Hongereni Mulio Maliza Dakika Zote 90 Hakika Nyinyi Ni Wazarendo Hasa Ila Mimi Kwa Upande Wangu Sikuweza.

Team Hata Haieleweki Yaani Wachezaji Wanaruka ruka Tu Bora Hata Chura Wa Snura!!.
 
Back
Top Bottom