2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Nhee nhee Safi mkuu subiri tuone makarau wanavyonyolewa
 
Hiyo inaweza kuwa kweli lakini ni kweli pia hata Harambee Stars ina nafasi sawa na Taifa Stars 16 bora au vinginevyo! Wote tumemuomba Mungu atusaidie tushinde wakenya na watanzania wote nunaomba sasa ngoja tuone nani atapendelewa na MUNGU asiye na upendeleo!!
 
Algeria wameifunga Senegal 1 - 0 na hivyo kuifanya Taifa stars ambayo itaifunga Harambee Stars ya Kenya muda mfupi ujao kuwa katika nafasi nzuri ya kusonga mbele.

Nitarudi baadae kuweka msimamo wa kundi letu.

Maendeleo hayana vyama!
"Tumuombe Mungu"
 
Kenya vibonde lazima wafungwe 3 - 0!
 
Usinilishe maneno mkuu, nani amekwambia Mimi naomba Taifa stars ishinde? Mimi niko upande wa Ndugai na Mwakyembe!
 
Ndo maana Johan Cruyff ,Mungu angekuwa anasaidia team zishinde basi zingekuwaga zinatoka draw. Maana team zote mbili wanamwomba Mungu. Mind you that Mungu hana upendeleo.
 
Ndo maana Johan Cruyff ,Mungu angekuwa anasaidia team zishinde basi zingekuwaga zinatoka draw. Maana team zote mbili wanamwomba Mungu. Mind you that Mungu hana upendeleo.
Hata kumuomba Mungu ni mashindano na mwenye bidii ya kuomba ndio husikilizwa.

Watanzania tumemwomba Mungu kwa bidii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…