Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Tumuombe Mungu"Algeria wameifunga Senegal 1 - 0 na hivyo kuifanya Taifa stars ambayo itaifunga Harambee Stars ya Kenya muda mfupi ujao kuwa katika nafasi nzuri ya kusonga mbele.
Nitarudi baadae kuweka msimamo wa kundi letu.
Maendeleo hayana vyama!
"Tumuombe Mungu"Algeria wameifunga Senegal 1 - 0 na hivyo kuifanya Taifa stars ambayo itaifunga Harambee Stars ya Kenya muda mfupi ujao kuwa katika nafasi nzuri ya kusonga mbele.
Nitarudi baadae kuweka msimamo wa kundi letu.
Maendeleo hayana vyama!
Kenya vibonde lazima wafungwe 3 - 0!Hiyo inaweza kuwa kweli lakini ni kweli pia hata Harambee Stars ina nafasi sawa na Taifa Stars 16 bora au vinginevyo! Wote tumemuomba Mungu atusaidie tushinde wakenya na watanzania wote nunaomba sasa ngoja tuone nani atapendelewa na MUNGU mwenye haki!
Mimi nalalaTukutane baadae. Msilale jamani. Ngoja nikanywe gahawa.
Hahahaa......... vibonde wale!Kwani wakenya wao hawana Mungu
Acha nature iamue
Kenya vibonde lazima wafungwe 3 - 0!
Usinilishe maneno mkuu, nani amekwambia Mimi naomba Taifa stars ishinde? Mimi niko upande wa Ndugai na Mwakyembe!Hiyo inaweza kuwa kweli lakini ni kweli pia hata Harambee Stars ina nafasi sawa na Taifa Stars 16 bora au vinginevyo! Wote tumemuomba Mungu atusaidie tushinde wakenya na watanzania wote nunaomba sasa ngoja tuone nani atapendelewa na MUNGU mwenye haki!
Ndo maana Johan Cruyff ,Mungu angekuwa anasaidia team zishinde basi zingekuwaga zinatoka draw. Maana team zote mbili wanamwomba Mungu. Mind you that Mungu hana upendeleo.Hiyo inaweza kuwa kweli lakini ni kweli pia hata Harambee Stars ina nafasi sawa na Taifa Stars 16 bora au vinginevyo! Wote tumemuomba Mungu atusaidie tushinde wakenya na watanzania wote nunaomba sasa ngoja tuone nani atapendelewa na MUNGU mwenye haki!
3 - 0!Algeria vs kenya 2--0
Senegal vs Tanz 2--0
Algeria vs senegal 1--0
Tanzan vs Kenya = ?? Wataalamu wa mahesabu hebu shusheni equation hapo tuone fact. Mukianza na neno "if..."
Ndo maana Johan Cruyff ,Mungu angekuwa anasaidia team zishinde basi zingekuwaga zinatoka draw. Maana team zote mbili wanamwomba Mungu. Mind you that Mungu hana upendeleo.
Hata kumuomba Mungu ni mashindano na mwenye bidii ya kuomba ndio husikilizwa.Ndo maana Johan Cruyff ,Mungu angekuwa anasaidia team zishinde basi zingekuwaga zinatoka draw. Maana team zote mbili wanamwomba Mungu. Mind you that Mungu hana upendeleo.