DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Kama mechi za Kesho wenzake hawatafungwa nyingi.
Maana yeye ana mabao 7 kwasasa.
Benin anacheza.
South Africa yeye kamaliza na Morocco kapigwa 1 tu.
MCongo naye aloshinda...asubiri Mbenin kesho.
Inamaanisha kwamba defense ni mbovuMost saves
1. Lloyd Kazapua (15)
2. Aishi Manula (14)
3. Matasi (12)
4. El-shenawry (11)
Kwa,sasa n mganda tu ndo tumebak naeUna supprt mwafrika mashariki yupi kwa sasa
Kenya or Uganda ?
Huwa sikosei kudadadeki10000% Cameroon hana mpira wowote sasa hivi huyu hata akikutana na Madagascar anagongwa nne au tano wakikaza sana ni draw japo siamini katika hili.
Benin wana njaa mno
Hahahaha hatari fire hizi mambo kuzijua raha sanaAngola anapigwa, afe kipa afe beki wanacheza mpira wa kujilinda sana sasa huu mchezo ni hatari unapokutana na wachezaji wenye kasi na skills za hali ya juu kama Mali.
Natumia nafasi hii kuwashukuru Benin kwa kutimiza ndoto zanguKenya bye bye. Benin wamezima ndoto za majirani kuingia kwenye best losers. Goaldifference imeawaondoa. Bye bye majirani.
Mkeka wangu umechanika kipande kimoja.Masahihisho:
Makundi ni 6, yenye timu 4 kila mmoja.
Kila la kheri Taifa Stars.
Huu ndio mkeka wangu kwa timu zitazojongea hatua ya mtoano.View attachment 1130454
Ila imebebeshwa kikapu cha magoli kuliko timu yoyote hadi sasaTaifa stars haitapata hata pointi moja
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mimi naipa nafasi taifa stars kuwa bingwa
Walinipa helaHahahaha hatari fire hizi mambo kuzijua raha sana
Another day another dollar. πππWalinipa hela
Zahera anamuaibisha Madagascar jana nilikuwa namsikia Rais wao Felix Tshisekedi akiongea na kocha mkuu akiwapongeza kawaahidi mifedha mingi.Mkeka wangu umechanika kipande kimoja.
Naweka mwingine hapa kuelekea Robo fainali.View attachment 1145178