Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,609
Si kweli hiyo haipo ilishaondolewa zamani sana, kamari za namna hiyo zimebakia kwenye uamuzi wa aina tatu tu kuchagua upande wa goli mtakapoanzia mechi na kwenye penat pamoja na upangaji wa magrupu basi.Hahahahhah. Hakuna mechi kuchezwa baina yao. Uamuzi wa mwisho huwa ni kufanya draw kama wanavyofanyaga kwenye kupanga groups.
Nakupa mfano halisi ili uelewe Stand united kabla haijashushwa daraja ilishushwa Kagera sugar kwa kigezo cha h2h ingetokea wamefanana kila kitu ingepigwa mechi baina yao na hizi ndizo sheria za CAF zinazo kuwa adopted na washirika (wanachama wake)
Sasa ikitokea mmoja wa wanaotafuta nafasi ya best loser wamelingana kila kitu kitapigwa kipute kati yao na hakuna kamari itakayochezwa