2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Hahahahhah. Hakuna mechi kuchezwa baina yao. Uamuzi wa mwisho huwa ni kufanya draw kama wanavyofanyaga kwenye kupanga groups.
Si kweli hiyo haipo ilishaondolewa zamani sana, kamari za namna hiyo zimebakia kwenye uamuzi wa aina tatu tu kuchagua upande wa goli mtakapoanzia mechi na kwenye penat pamoja na upangaji wa magrupu basi.

Nakupa mfano halisi ili uelewe Stand united kabla haijashushwa daraja ilishushwa Kagera sugar kwa kigezo cha h2h ingetokea wamefanana kila kitu ingepigwa mechi baina yao na hizi ndizo sheria za CAF zinazo kuwa adopted na washirika (wanachama wake)

Sasa ikitokea mmoja wa wanaotafuta nafasi ya best loser wamelingana kila kitu kitapigwa kipute kati yao na hakuna kamari itakayochezwa
 
Hiyo ni huko Tanzania. CAF huo muda haupo wa kuchezesha team kisa kupata nafasi ya best loser. Soma acha kutumia sijui Tanzania walivyompata nani ashuke daraja. CAF option ya mwisho ni draw.Atakaeokotwa ndo huyo huyo. By the way hizo sheria zilizopo juu lazima huwa team inapatikatana kabla hata ya kufika kwenye "tirage au sort ".
 
Tanzania 0 - 3 Algeria | Kenya 0 - 3 Senegal,hicho ndio kiwango chetu...
 
Hiyo ni huko Tanzania. CAF huo muda haupo wa kuchezesha team kisa kupata nafasi ya best loser. Soma acha kutumia sijui Tanzania walivyompata nani ashuke daraja. CAF option ya mwisho ni draw.Atakaeokotwa ndo huyo huyo. By the way hizo sheria zilizopo juu lazima huwa team inapatikatana kabla hata ya kufika kwenye "tirage au sort ".
Hakuna kitu kama hicho wewe mwanamke usiwe mbishi.
Na hii si Tanzania tu ni dunia nzima, Sheria zimebadirikia kinachofanywa na FIFA ndicho kitafanywa na CAF, CONCAF,UEFA na yeyote.

Sasa hivi kuna sheria mpya ya mchezaji kutokea popote, unajifanya mjuaji kwenye vitu usivyovijua
 
Hujui mpira. Acha nikuache. Soma sheria za CAF kwa kutafuta best losers. Hakuna ya kukutana face to face. Jana umetuambia Benin anaongoza best losers. Naona unatuatilia sana story za vijiweni.
 
La Benin nilikosea kweli na nikajisahihisha baada ya kuona table ya group lao, na sikukwambia wewe ni shobo zako ndizo zilifanya uni_quote na sio jambo baya.

Ila kwenye hili la kuchezesha kamari ili kumpata best loser HALIPO NARUDIA TENA HALIPO mjinga wewe unakomalia kitu ambacho hakipo.

Kamari haitumiki kumpata nani aendelee na nank asiendelee jinga wewe, yani mimi nisijue mpira kushinda wewe nina leseni ya Ukocha niliyoipata kutoka kwenye mafunzo ya mwl kashasha 2016 uwanja wa Taifa shubahamit
 
Inabidi iwe hivyo ili mkeka wangu uwe salama Angola anapaswa kufa mapema sana
Angola anapigwa, afe kipa afe beki wanacheza mpira wa kujilinda sana sasa huu mchezo ni hatari unapokutana na wachezaji wenye kasi na skills za hali ya juu kama Mali.
 
La Benin nilikosea kweli na nikajisahihisha baada ya kuona table ya group lao, na sikukwambia wewe ni shobo zako ndizo zilifanya uni_quote na sio jambo baya.

Ila kwenye hili la kuchezesha kamari ili kumpata best loser HALIPO NARUDIA TENA HALIPO mjinga wewe unakomalia kitu ambacho hakipo.

Kamari haitumiki kumpata nani aendelee na nank asiendelee jinga wewe, yani mimi nisijue mpira kushinda wewe nina leseni ya Ukocha niliyoipata kutoka kwenye mafunzo ya mwl kashasha 2016 uwanja wa Taifa shubahamit
Pale unapojiona unajua,kumbe hujui kama hujui..
 
Most saves
1. Lloyd Kazapua (15)
2. Aishi Manula (14)
3. Matasi (12)
4. El-shenawry (11)
 
Ninajua na najijua kama ninajua kuanzia kuucheza hadi kuufundisha.
Mpaka sheria zote nazijua
20190702_104028.jpg
 
Tatizo ulilonalo ni ubishi, Gambling haipo tena kwenye kutafuta mshindi na nimekwambia toka awali na CAF wameanza kutumia hii kuanzia 2017 AFCON.

Huwezi kumpata mshindi kwakuchezesha kamari, ilipigwa vitana haipo tena ilikuwepo zamani sana.
Vigezo vya CAF hivi hapa👇

  1. Number of points obtained in games between the teams concerned;
  2. Goal difference in games between the teams concerned;
  3. Goals scored in games between the teams concerned;
  4. If, after applying criteria 1 to 3 to teams concerned, two or three teams still have an equal ranking, criteria 1 to 3 are reapplied exclusively to the matches between these teams in question to determine their final rankings. If this procedure does not lead to a decision, criteria 5 to 6 will apply;
  5. Goal difference in all games;
  6. Goals scored in all games;
Hivi ndivyo vinatumika AFCON 2019

Drawing lots haifanyi kazi tena
 
Back
Top Bottom