nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Sina cha kuwasadia...Muulize vizuri ChoiceVariable kilichomkuta Sugu hivi karibuni walipokuwa wanajianda kwa mkutano wa vijana.
Ofcoz ni dhaifu mkuu. Wala hakuna mjadala kuhusu Hilo .Watu wenye fikra za kipumbafu kama wewe ndiyo mnasababisha haya matukio yaendelee...
Mnataka kusema Samia ameshindwa kumaliza hili tatizo?
Magufuli alianzisha task force ya TRA, bado ipo?
Mbona mnataka kutuonesha kama Samia ni dhaifu sana!
Sasa aliweza TRA, mnaamini hawezi kuwaondoa hawa watekaji?
Halafu mtu kafakamia mipombe mibovu anasema dhalim ndiyo ameimarisha upinzaniInasikitisha sana bunge limebaki la chama kimoja, serikali za mitaa zimebeki za chama kimoja.
Mkuu usiumize kichwa kwa Hawa wapumbavuu wadumavu wa akili.Visingizio hivi
Wakati mama Samia anaingia alianzisha kikosi kazi ambacho waliwekwa wanasiasa wote na kupeleka maoni na vikao kila Mara ikulu, akaanzisha 4R , akatengua wale wote mliowalalamikia, mkasifu mkasema mambo ndio haya, barabarani mkajaza mabango mama msikivu anaupiga mwingi, siasa Safi na kila kitu kimewekwa na kuimbwa
Leo mmekwama mnarudi tena kusema nini? Acheni kuwa vipofu
Ndo mana siku zote nasema lile lilikuwa ni Shetani halisiTukiangalia tulipojikwaa mwaka 2019 na 2020 ni hakika Bwana yule alivuruga kila kitu, haya mengine yote yaliyotokea baadaye na yanayoendelea kutokea ni matokeo tu uvurugaji wa 2019-2020.
Lilikuwa jambo ovu sana kuonyesha machaguzi na maamuzi ya raia walio wengi katika kupata wawakilishi wao hayana maana na yanaweza kupuuzwa bila consequences zozote. Jenga utakavyoweza kujenga lakini msingi muhimu kuliko wote wa taifa bora ni jinsi gani raia wanavyojiongoza kwa maamuzi yao ya wenyewe ya kidemokrasia yanayoheshimiwa na wote.
Jiwe alikua mtu mbaya sana kwa maendeleo ya demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania.Matatizo yalianza Mbowe alipomchukua Lowassa na kumkata Dr Slaa
Kitendo cha Mbowe kumchukua Lowassa aliyekatwa na JK kitaendelea kuigharimu Chadema hadi Ritz atakapostaafu Urais 2040 😀
Lile shetani lenu la Chato limetuharibia sana nchi yetuMimba ya Magufuli itakutesa mpaka unakufa
Wewe uliyekubali kupewa mimba na mshamba ni mshamba zaidi na huo uchi wakoWe ndio una mimba jinsi unavyomhusudu, mfuate mzalie mwanae kule aliko. Msukuma ni mshamba tu ht asome. Haitatokea mshamba aongoze tena nchi hii
Kwa kuwa nyumbu hawezi kutumia SGR wala umeme lazima awe na mawazo ya kipumbavu kama yakoLile shetani lenu la Chato limetuharibia sana nchi yetu
Ally KibaoUnaweza kunitajia watu watano(5) waliotekwa wakati wa JK?
Unaweza kunitajia watu waliopotea na hawakuonekena tena wakati wa JK??
Kwa vilaza kama nyie bunge litaendelea kuwa la chama kimojaUnaelewa athari za bunge kubaki la chama kimoja??
Mnasubiri serikali ya nusu mkateInasikitisha sana bunge limebaki la chama kimoja, serikali za mitaa zimebeki za chama kimoja.
Wakati wa Ben na JK angalau watu walikuwa wanaweza kupata hata nafasi ya kushiriki kugombea, ikifika wakati wa kutangaza matokeo ndio mtiti unaanza, wapinzani walioweza kukomaa na watangaza matokeo baadhi angalau waliambulia chochote, Huwezi kufananisha na kipindi ambacho wagombea hata kuingia tu kwenye nafasi za kugombea ni kivumbi na jasho.Kama ni kuvuruga uchaguzi tumeshuudia tangu mwaka 2000 walichofanyiwa CUF na serikali ya Mkapa,
HamnazoMatatizo yalianza Mbowe alipomchukua Lowassa na kumkata Dr Slaa
Kitendo cha Mbowe kumchukua Lowassa aliyekatwa na JK kitaendelea kuigharimu Chadema hadi Ritz atakapostaafu Urais 2040 😀
Unataka nikutajie watu waliopotea ambao wewe unawafahamu au nikutajie watu waliopotea ambao Mimi Nina taarifa na hawaonekana mpaka leo????Unaweza kunitajia watu watano(5) waliotekwa wakati wa JK?
Unaweza kunitajia watu waliopotea na hawakuonekena tena wakati wa JK??
So conclusively hapa unatwambia kuwa CCM Haina tatizo Bali tatizo ni aliyekalia hicho kiti cha CCM si ndio???Wakati wa Ben na JK angalau watu walikuwa wanaweza kupata hata nafasi ya kushiriki kugombea, ikifika wakati wa kutangaza matokeo ndio mtiti unaanza, wapinzani walioweza kukomaa na watangaza matokeo baadhi angalau waliambulia chochote, Huwezi kufananisha na kipindi ambacho wagombea hata kuingia tu kwenye nafasi za kugombea ni kivumbi na jasho.
Hawa ni wehu ndugu yangu usijisumbue.So conclusively hapa unatwambia kuwa CCM Haina tatizo Bali tatizo ni aliyekalia hicho kiti cha CCM si ndio???