Uchaguzi 2020 2020 hatutakuwa na Mbunge hata mmoja wa upinzani ni kijani tu

Labda wewe mjomba wake ndie umemtuma, aposti uendawazimu wa ukoo wenu.
 
Kama una uhakika ruhusu tume huru ya uchaguzi, Maded wasisimamie uchagizi, mopolisi wasipige wapinzani mabomu, kuwe na uhuru wa demokrasia tuone kama CCM mtasimama!!
Mnaona Watanzania ni mapoyoyo hawajui kitu, umelala jamaa!!
 
Umemkomesha hasa !
Huwa wanajitoa akili sana hawa Mkuu Erythrocyte ,wanadhani maendeleo yatapatikana kwa kutesa na kumaliza Wapinzani..
Baraza la Wawakilishi Zanzibar hivi sasa ni CCM watupu, Wanamaendeleo gani! 😂
Sana zimekosekana hoja za Wawakilishi kama Jusa ambaye alikua mzuri kwenye upande wa Sheria.
 
Hivi ndivyo unavyoweza kupima IQ za watu hapa JF, kwa mtazamo wake yeye anadhani wabunge wote wakitoka ccm ndio kufanikiwa sana kwa taifa hili, Aiseeee!!!! bado tuna safari ndefu sana.
 
Wananchi wawapende watekaji na wauaji, halafu wawachague we mzima kweli.
 
Diaspora, au?
 
Hii habari ina ukweli fulani hivi...kama waliweza kwa goli la mkono....je kwa mtutu wa bunduki si majimbo yote yanabebwa tu....labda lile moja alilosema Polepole hata sijui alimaanisha jimbo la nani.
 
Hivi kumbe mtu anamchaguwa Lusinde Livingstone kwa sababu Magufuli anafanya vizuri?
Ndio falsafa yenu hiyo? Upuuzi mtupu!
Fanyeni hivi, jina la wagombea ubunge wa CCM majimboni tumieni Magufuli.
Mfano, Lusinde Magufuli (CCM), Nkamia Magufuli (CCM), Kigwangwala Magufuli (CCM) nk kwa majimbo yote.
 
Hivi ndivyo unavyoweza kupima IQ za watu hapa JF, kwa mtazamo wake yeye anadhani wabunge wote wakitoka ccm ndio kufanikiwa sana kwa taifa hili, Aiseeee!!!! bado tuna safari ndefu sana.

Kumbe ni kinyume chake! JPM mwenyewe ameibua kutokana na changamoto za upinzani. Vinginevyo nani angemuona?
 
Sasa mbona anaogopa mikutano namna hii?
 
Hata mie naona kwa aina ya watendaji wa Tume,wakurugenzi na polisi hilo unalolisema linawezekana kabisa maana ni tumejionea chaguzi za marudio ilivyokuwa
 
98% CCM
 
Vijana wa Chadema lini wamekuwa na staha?

Hawa si wameokotwa Barabarani,umuhimu wa Mama ataujulia wap?
Nyote mumekosa adabu na heshima, Mama wote ni wakuaheshimiwa, sio wakutumiwa kama njia za kudhalilishana.

Kuweni na stara na akili
 
Wenzangu wa CCM, hilo likitokea basi muujue kuwa upinzani utakuwa mkubwa sana tena ndani ya nyumba yetu, tusijidanganye, siasa za enzi ya nyerere zimekwisha hata waliokuwemo hawapo wengi wao.

Tutaparurana wenyewe kwa wenyewe,hebu vikiria muswada wa serekali umeletwa wabunge 70 wa ccm wakaupinga, tutawaitaje ( VIBARAKA WA CHADEMA AMA ACT ) , mpasuko wa chama ndio utakuwa ndio gumzo la vijiweni.
 
Elimu Elimu Elimu,Nyie Mazero Brain ndio mitaji ya CCM,Mijitu inayodanganywa na tamthilia za Director Bashite na Baba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…