Uchaguzi 2020 2020 hatutakuwa na Mbunge hata mmoja wa upinzani ni kijani tu

Naunga mkono hoja, ujinga uliofanywa Na watendaji haukubaliki, Ni heri kuanza upya kwa mtazamo wangu wale watendaji ni wasaliti kwa taifa letu.adhabu ya msaliti Ni kifo full stop.
 
Duu kwa huyo una furahia kuumizwa kwa watz wenzako kwa sababu ya urafi wa madaraka wa jiwe na genge lake?ndugu kama na watoto wako unawafundisha hivyo basi tambua unawaandaa watoto wako kuwa kizazi chenye akili mbovu na kilicho jaza mavi kichwani badala ya ubongo.
 
Kwa uandishi huu wewe utakuwa houseboy wa makonda au dotto james
 
Kwa hiyo umepata faida gani?
 
Siasa za majukwaani tunakamatwa hadi vikao vya ndani tunapigwa mabomu sasa mnataka tuingie msituni? Lawama zingine mnazotoa.kwa wapinzani ni za kiduwanzi tu. Ila upinzani ukifa hasara ni kwa wote.
 

Unaona raha kama vile unakojoa
 
Siasa za majukwaani tunakamatwa hadi vikao vya ndani tunapigwa mabomu sasa mnataka tuingie msituni? Lawama zingine mnazotoa.kwa wapinzani ni za kiduwanzi tu. Ila upinzani ukifa hasara ni kwa wote.
Mahali tulipofika Ni jino kwa jino.tuone nan ataumia zaidi..
 
Kama vyama vingi aliviasis yeye basi ataviua ama atavimaliza, ila kama alivikuta basi yeye muda wake utafika kikomo na vyama vya upinzani vitakuwepo na kuendelea
 
Nimeamini watanzania ni wapole sana, mambo kama haya yangefanyika Kenya mgekuwa mnausikia moto
Sio upole kaka ni waoga sana kwasababu ya aina ya elimu walio lishwa na Nyerere
 
Magufuli atashtukia amejenga nchi ambayo anaipenda pekee yake.. [emoji1787][emoji1787][emoji23]
Akiipenda yeye inatosha...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji112][emoji112][emoji112]
 
TUTAONA, KAMA MNADHANI NCHI HII NI YENU? MNADHANI RAIA HATUNA AKILI? BILA UPINZANI CCM ITAFILISI HII NCHI.
 
Naomba pia wasirudi. Kwa kufanya hivyo huenda idadi ya mboga mezani itaongezeka kutoka 3 mpaka 7.
 
Siasa za majukwaani tunakamatwa hadi vikao vya ndani tunapigwa mabomu sasa mnataka tuingie msituni? Lawama zingine mnazotoa.kwa wapinzani ni za kiduwanzi tu. Ila upinzani ukifa hasara ni kwa wote.
Kikao cha ndani kina watu 50 hadi 100,wanakuja askari 4 kwenye difenda wanawakata mnaaangalia? Uliona video ile ya mto wa mbu askari walikuja na mitutu wakawakataza vijana wazivue samaki? Uliona jamaa walivyokaza na wakaambia askari live jaribu kumpiga jamaa risasi kama utatoka hapa!! Askari alisanda mwenyewe...wanacnhi wakiamua askari wanakimbia.
 
Ila bora iwe ivo tuu.. Maana upinzani huu niwakinafikii nafikii..
 
Ingekuwa tunategemea kufanya siasa za upinzani kwa kupitia vyama vya siasa pekee hapo mngekuwa mmeshinda, lakini tunajiamini vya kutosha na tuko vizuri zaidi.
Mpo nanani wanafiki nyie kila Siku kuongea tu nyuma ya keyboard.. Shenz type
 
Upinzani hauwezi kufa, Magufuli anachokifanya ni kubadilisha aina ya upinzani na utakaokuja atatamani kina Mbowe. Dunia hii ya leo sio ya kipindi cha nyuma, Magufuli atatafuta pa kwenda kama sio watu kumfungia kazi.
Naona BAVICHA mmeanza kujifarijii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…