2020 mwaka wa vilio majonzi katika historia ya siasa naomba Mungu atupiganie

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Ninaandika ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vilivyopo kwamba.

Mwaka 2020 utaweka historia ya vilio na majonzi kwa watu wa kada zote

Uwe Ccm, uwe chadema, uwe hauna chama, watoto, vijana wazee, wake kwa waume hakika ni mwaka wa majonzi.

Uwe mwanasiasa, uwe mfanyabiashara, uwe mkulima uwe mfanyakazi wa serikali au private mwaka huu utakugusa tu kwa namna yeyote.

Ndio mwaka utakaotawaliwa na siasa chafu kuliko kipindi chochote toka tupate uhuru naomba Mungu angalau atuepushe.

Naomba ili chapisho liwe kumbukubu kwa watu wa kada zote tuweze kuchukua hatua kuzuia machafuko kwa namna yeyote ile ili tuendelee kuwa kisiwa cha amani yajayo hayafurahishi hata kidogo.

Happy New Year 2020
Mungu Ibariki Tanzania.
 
Hapa mchango wangu ni kwamba, ndugu technically una ugonjwa unaofahamika kama hofu isiyojulikana. Tulia, fanya yako, kisha subiri kuona uaguzi(hofu) wako utakavyokuwa bonge la famba.
 
Hakuna kitu cha kijinga kama hicho. Hizo siasa chafu zinafanywa na nani.

Acha kuishi kitaharuki. Manabii wengine bhana!! Haya kanisa lako liko wapi?
 
Ninaandika ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vilivyopo kwamba.

Mwaka 2020 utaweka historia ya vilio na majonzi kwa watu wa kada zote

Uwe Ccm, uwe chadema, uwe hauna chama, watoto, vijana wazee, wake kwa waume hakika ni mwaka wa majonzi.

Uwe mwanasiasa, uwe mfanyabiashara, uwe mkulima uwe mfanyakazi wa serikali au private mwaka huu utakugusa tu kwa namna yeyote.

Ndio mwaka utakaotawaliwa na siasa chafu kuliko kipindi chochote toka tupate uhuru naomba Mungu angalau atuepushe.

Naomba ili chapisho liwe kumbukubu kwa watu wa kada zote tuweze kuchukua hatua kuzuia machafuko kwa namna yeyote ile ili tuendelee kuwa kisiwa cha amani yajayo hayafurahishi hata kidogo.

Happy New Year 2020
Mungu Ibariki Tanzania.

2020 Mwaka mbaya.
2020 Happy New year.
Mbona unatuchanganya na huu unabii wako?
 
Mimi binafsi huo mwaka wa kesho (2020) iwapo Mungu atanijalia afya na uzima, nategemea kutumia muda wangu mwingi kufanya mambo yangu ya msingi ya kuniingizia kipato zaidi ya hiki nilichonacho sasa.

Mambo ya ccm, sijui Chadema! nitawaachia wenyewe. Sitegemei pia kupiga kura kwenye huo uchaguzi mkuu ujao kama nilivyofanya kwenye ule uchaguzi wa mwaka huu wa serikali za mitaa.
 
Karibu kwa Yesu. Ni yeye tu mtuliza bahari chafu ilochafuliwa na tufani. Unatuambia ili tukimbie nchi au?? Nakuambia, tutabanana hapahapa
 
mambo yamekwisha korogeka[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Ninaandika ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vilivyopo kwamba.

Mwaka 2020 utaweka historia ya vilio na majonzi kwa watu wa kada zote

Uwe Ccm, uwe chadema, uwe hauna chama, watoto, vijana wazee, wake kwa waume hakika ni mwaka wa majonzi.

Uwe mwanasiasa, uwe mfanyabiashara, uwe mkulima uwe mfanyakazi wa serikali au private mwaka huu utakugusa tu kwa namna yeyote.

Ndio mwaka utakaotawaliwa na siasa chafu kuliko kipindi chochote toka tupate uhuru naomba Mungu angalau atuepushe.

Naomba ili chapisho liwe kumbukubu kwa watu wa kada zote tuweze kuchukua hatua kuzuia machafuko kwa namna yeyote ile ili tuendelee kuwa kisiwa cha amani yajayo hayafurahishi hata kidogo.

Happy New Year 2020
Mungu Ibariki Tanzania.
Hivi nyinyi wachoma mishikaki na wapiga polishi mbona mnapenda fujo?? Kazi ya kupiga polishi na kuchoma mishikaki haina mrejesho wa kutosha siku hizi au ilikuwa inaenda sambamba na ujambazi ambao sasa hivi umepigwa pini ndio maana kelele ni nyingi??
 
Unapotaka kurudisha mfumo wa chama kimoja au siasa za ujamaa ni vyema kufanya hivyo kwa kutamka halafu wananchi watakuelewa na kufuata.HAWAMU YA PILI ya raisi MWINYI ulitamka RUKUSAA maana yake aliruhusu kutoka siasa za ujamaa zilizokuwa zinatuongoza tukarudi mfumo wa vyama vingi na private sector/ ubepari alieleweka vizuri na wananchi wengi walimuhusudu kwa kuwa walimuelewa.JK alieleweka vizuri sana aliporuhusu wananchi watoe maoni yao ya kutunga katiba mpya alitaka tuwe na siasa za liberal lakini wale wa conservative wa chama chake walimuzidi nguvu tukarudi kule kule wa maintain status quo .
 
Du!! kweli Magu wewe ni role model yangu. naona watu wameanza kugeuka vichaa, walizoea kudaka pesa za mkato sasahiv ukiwambia wafanye kazi ili waishi vizuri wanaona kama unawatukana. wameanza kusingizia siasa.....
 
Iwapo wapinzani wataendelea kuwa makondoo huku wakiporwa ushindi sioni hofu yako ikitokea. Lakini iwapo wapinzani watajua amani inayohubiriwa ni ile ya wao kukaa kimya wanapofanyiwa uhuni, naona hofu yako ikitimia vizuri.
 
Mambo yatakwenda smooth usiwe na shaka ndugu mtanganyika, the worst that could happen ni sisi kunyang'anywa zanzibar.
 
Hapa tanzania wee unaamini kuna wapinzani?
Iwapo wapinzani wataendelea kuwa makondoo huku wakiporwa ushindi sioni hofu yako ikitokea. Lakini iwapo wapinzani watajua amani inayohubiriwa ni ile ya wao kukaa kimya wanapofanyiwa uhuni, naona hofu yako ikitimia vizuri.
 
Ninaandika ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vilivyopo kwamba.

Mwaka 2020 utaweka historia ya vilio na majonzi kwa watu wa kada zote

Uwe Ccm, uwe chadema, uwe hauna chama, watoto, vijana wazee, wake kwa waume hakika ni mwaka wa majonzi.

Uwe mwanasiasa, uwe mfanyabiashara, uwe mkulima uwe mfanyakazi wa serikali au private mwaka huu utakugusa tu kwa namna yeyote.

Ndio mwaka utakaotawaliwa na siasa chafu kuliko kipindi chochote toka tupate uhuru naomba Mungu angalau atuepushe.

Naomba ili chapisho liwe kumbukubu kwa watu wa kada zote tuweze kuchukua hatua kuzuia machafuko kwa namna yeyote ile ili tuendelee kuwa kisiwa cha amani yajayo hayafurahishi hata kidogo.

Happy New Year 2020
Mungu Ibariki Tanzania.
Ule uvumi uliotokea wakati ule kwamba jamaa ametembelewa na Israel sijui kwanini haukuwa kweli..
Ee Mungu mchukue huyu ibilisi shetani Mtekaji watu wa awamu hii ya tano..
Amen.
 
Takataka ,rubbish
Ninaandika ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vilivyopo kwamba.

Mwaka 2020 utaweka historia ya vilio na majonzi kwa watu wa kada zote

Uwe Ccm, uwe chadema, uwe hauna chama, watoto, vijana wazee, wake kwa waume hakika ni mwaka wa majonzi.

Uwe mwanasiasa, uwe mfanyabiashara, uwe mkulima uwe mfanyakazi wa serikali au private mwaka huu utakugusa tu kwa namna yeyote.

Ndio mwaka utakaotawaliwa na siasa chafu kuliko kipindi chochote toka tupate uhuru naomba Mungu angalau atuepushe.

Naomba ili chapisho liwe kumbukubu kwa watu wa kada zote tuweze kuchukua hatua kuzuia machafuko kwa namna yeyote ile ili tuendelee kuwa kisiwa cha amani yajayo hayafurahishi hata kidogo.

Happy New Year 2020
Mungu Ibariki Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom