technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Ninaandika ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vilivyopo kwamba.
Mwaka 2020 utaweka historia ya vilio na majonzi kwa watu wa kada zote
Uwe Ccm, uwe chadema, uwe hauna chama, watoto, vijana wazee, wake kwa waume hakika ni mwaka wa majonzi.
Uwe mwanasiasa, uwe mfanyabiashara, uwe mkulima uwe mfanyakazi wa serikali au private mwaka huu utakugusa tu kwa namna yeyote.
Ndio mwaka utakaotawaliwa na siasa chafu kuliko kipindi chochote toka tupate uhuru naomba Mungu angalau atuepushe.
Naomba ili chapisho liwe kumbukubu kwa watu wa kada zote tuweze kuchukua hatua kuzuia machafuko kwa namna yeyote ile ili tuendelee kuwa kisiwa cha amani yajayo hayafurahishi hata kidogo.
Happy New Year 2020
Mungu Ibariki Tanzania.
Kama mnaweza kumteka Prof Assad nadhani sasa yale mambo yenu ya kustaki watu kwa uhaini yamefika. !Hakuna kitu cha kijinga kama hicho. Hizo siasa chafu zinafanywa na nani.
Acha kuishi kitaharuki. Manabii wengine bhana!! Haya kanisa lako liko wapi?
Hivi nyinyi wachoma mishikaki na wapiga polishi mbona mnapenda fujo?? Kazi ya kupiga polishi na kuchoma mishikaki haina mrejesho wa kutosha siku hizi au ilikuwa inaenda sambamba na ujambazi ambao sasa hivi umepigwa pini ndio maana kelele ni nyingi??Ninaandika ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vilivyopo kwamba.
Mwaka 2020 utaweka historia ya vilio na majonzi kwa watu wa kada zote
Uwe Ccm, uwe chadema, uwe hauna chama, watoto, vijana wazee, wake kwa waume hakika ni mwaka wa majonzi.
Uwe mwanasiasa, uwe mfanyabiashara, uwe mkulima uwe mfanyakazi wa serikali au private mwaka huu utakugusa tu kwa namna yeyote.
Ndio mwaka utakaotawaliwa na siasa chafu kuliko kipindi chochote toka tupate uhuru naomba Mungu angalau atuepushe.
Naomba ili chapisho liwe kumbukubu kwa watu wa kada zote tuweze kuchukua hatua kuzuia machafuko kwa namna yeyote ile ili tuendelee kuwa kisiwa cha amani yajayo hayafurahishi hata kidogo.
Happy New Year 2020
Mungu Ibariki Tanzania.
Iwapo wapinzani wataendelea kuwa makondoo huku wakiporwa ushindi sioni hofu yako ikitokea. Lakini iwapo wapinzani watajua amani inayohubiriwa ni ile ya wao kukaa kimya wanapofanyiwa uhuni, naona hofu yako ikitimia vizuri.
Ule uvumi uliotokea wakati ule kwamba jamaa ametembelewa na Israel sijui kwanini haukuwa kweli..Ninaandika ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vilivyopo kwamba.