Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #321
Sana tena sanaKongole kwa Siera Leone wamejitahidi aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana tena sanaKongole kwa Siera Leone wamejitahidi aisee.
BlackPanther kanishawishi tuishabikie ila moyo wangu unajiona kusita. 😀😀😀Mimi kama mdau na shabiki wa Algeria nasema wametuangusha ila tujipange kwa mechi zijazo
Hivi hawa si ndo walipigana vita vya mda mrefu sana wenyewe kwa wenyewe leo ana mkazia bingwa mtetezi.FT' Algeria 0-0 Sierra Leone
Watu wanajipanga mzee!! Sisi huku siasaHivi hawa si ndo walipigana vita vya mda mrefu sana wenyewe kwa wenyewe leo ana mkazia bingwa mtetezi.
Ni kweli mkuu, hata mimi nilijua goli zinaanza mbili kuendelea ila daaah😂😂Moja kati ya game iliyowapa hela kampuni za kubeti..nani alidhani ingetoka draw..wengi walijua Algeria angeshinda tena magoli kuanzia mawili..
Guinea ya Ikweta na Ivory CoastBlackPanther kanishawishi tuishabikie ila moyo wangu unajiona kusita. 😀😀😀
Timu mbili za hili group ni zipi? Tuone kama kuna kutoboa.
Kaka kwa upepo ulivyo ni mapema mno kusema hivyo..na wengi wanaamini Misri ya kina Mo Salah watashinda mapema tu ila mpira una suprise nyingi..Saa 1:00 ni Nigeria na Misri, nampa nafasi Misri mapemaaa
Ni kweli nakubaliana na wewe! Ngoja tuone dk 90 zitaamuaKaka kwa upepo ulivyo ni mapema mno kusema hivyo..na wengi wanaamini Misri ya kina Mo Salah watashinda mapema tu ila mpira una suprise nyingi..
222Naomba msaada Channel namba ngapi wanaonesha Afcon DSTV?
Asante sana kiongozi, ni kifurushi cha sh ngapi naipata hii?
PremiumAsante sana kiongozi, ni kifurushi cha sh ngapi naipata hii?
Elfu 21Asante sana kiongozi, ni kifurushi cha sh ngapi naipata hii?
Imeshushwa hadi bombaPremium