2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Moja kati ya game iliyowapa hela kampuni za kubeti..nani alidhani ingetoka draw..wengi walijua Algeria angeshinda tena magoli kuanzia mawili..
Ni kweli mkuu, hata mimi nilijua goli zinaanza mbili kuendelea ila daaah😂😂
 
Golikipa wa Sierra Leone ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mechi

D7D18A77-C4ED-4675-B2FD-B6C4481F74F5.jpeg
 
Back
Top Bottom