2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Nigeria out.
Hawa Tunisia nilijua watakuja kugeuka sana kwakuwa walikuwa lazima wajiulize walikosea wapi mpaka wakaingia kama Best Loser.

Nakumbuka Portugal ya mwaka 2016 ilipita kama Best Loser kwenye UERO hadi akabeba ndoo mbele ya France
 
Back
Top Bottom