Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #1,501
Nigeria wakienda nje...Cameroon atakuwa na njia nyepesiKumbuka muda nao ndio unakimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nigeria wakienda nje...Cameroon atakuwa na njia nyepesiKumbuka muda nao ndio unakimbia
Maajabu ya mlima koleloHilo kombora daah
Tunisia 1-0 Nigeria
Imagine mtu anaingia tu anakutana na umeme, dahUmeme[emoji102][emoji102]
Ndio mzee, kubet halafu ukaingiza mahaba kwenye timu ndio matokeo yakeUmebeti nini mzee?[emoji1787]
Sijui kama wanaweza fanya comeback, kwa mpira wa leo wa kibishoo vileKama utani wanaweza kwenda nje
Steven Gerald kuna match moja vs Manchester United aliingia akacheza sekunde 38 tu akala red card. Unashangaa hiyo.Imagine mtu anaingia tu anakutana na umeme, dah
Hawa mapopo waende tu kwaoSijui kama wanaweza fanya comeback, kwa mpira wa leo wa kibishoo vile
Ilikuwa against Man Utd, msimu wake wa mwisho kabla ya kutundika daruga, alimchezea rafu MataSteven Gerald kuna match moja vs Manchester United aliingia akacheza sekunde 38 tu akala red card. Unashangaa hiyo.
Huku kwetu umekatika, kuna mchezaji kala umeme kwani?Imagine mtu anaingia tu anakutana na umeme, dah
Wanacheza kwa ubinafsiSijui kama wanaweza fanya comeback, kwa mpira wa leo wa kibishoo vile
Kwa mtindo huo hawawezi fika mbaliWanacheza kwa ubinafsi
Sub ya mchongoHuyu kocha wa nigeria kweli hamnazo...yaani kamwingiza iwobi wa nini mtu mwenyewe ata huko everton anarukaruka tuu
Kabisa mkuu yaani jamaa kazingua kinoma au kocha kabet jamaniSub ya mchongo
Iwobi.Huku kwetu umekatika, kuna mchezaji kala umeme kwani?