Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #1,621
Sasa mbona mda wa mechi wanawaondolea uhondi14 elfu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona mda wa mechi wanawaondolea uhondi14 elfu,
Hii AfCON haina vikosi na ingekuwa hivyo Malawi wasingekuwepo bali Ghana,Gabon na Nigeria wangebaki hadi mda huu. Awali niliwapa sana nafasi Algeria ila sioni wakifanya maajabu yoyote yale. Kandanda safi limebaki kwa Burkina na Cod'voir lakini kikubwa zaidi fighting spirit yao is very high na mchezo huwa wanautaka. Narudia tena leo Gambia na Cameroon out
Naija kundi lao wote dhaifu tu, misri hii haina tofauti na aljeria hiiNaija kiukweli sikutegemea
Hamna jinsi. Kime chika. Duhhhh [emoji50][emoji50]Guinea chonde chonde viungo mnaniangusha sana leo, hadi inanipa mashaka mlifikaje hapa?