2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Hawa jamaa wamezingua ukiondoa hilo goli lao sijaona mkakati wa maana kabisa.
Yaani huku kwa hakimi ndio wlitakiwa wabane wao wanamuacha anatiririka tuu.

Hawakuona wenzao tunisia, moses simon alikuwa nakabwa hadi watu watatu maana walijua ili nigeria ilete madhara ni lazima mpira upige kwa simon
 
Screenshot_20220126-000736_FotMob.jpg

Screenshot_20220126-000809_FotMob.jpg

Screenshot_20220126-000845_FotMob.jpg

Screenshot_20220126-000902_FotMob.jpg
 
Hivi Tanzania Tulikuwa Tunapambana Kuja Huku ili Mfungaji wetu awe Bocco? Au Beki awe Kibwana Shomary [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] au Kiungo Awe Feisal Toto? Bora hata hatukuja

Simba Iliwadanganya hadi Timu ya Taifa Kuwa Wangeweza Kupambana na Waarabu, Wa Nigeria [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Simba Mungu Anawaonaaaa Kuwaaminisha wenzenu Ujinga
Kipa Manura [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom