Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hatari sana..Senegal wanachezea nafasi kama Cameroin alivyofanya alipocheza na Egypt
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana..Senegal wanachezea nafasi kama Cameroin alivyofanya alipocheza na Egypt
Senegal inaonewa huruma sana...maana mzimu wa kufungwa fainali unawatesa.Mashabiki wa Cameroon waliojitokeza kwa wingi uwanjani wamejikuta wakiishabikia Senegal😂
Mwenye kombe lake ndo anachukuaMichuano ya Afcon imefika, ni hapo kesho ndio inatarajiwa kuzinduliwa. Itafanyika kuanzia kesho Januari 9 mpaka Februari 6 mwaka huu.
Michuano hii ilibidi ifanyike mwaka jana 2021 ila kwasababu ya Covid-19 ikahairishwa. Hivyo inafanyika mwaka huu ila ina jina la mwaka jana.
Mwenyeji wa michuano hii ni Cameroon, huku Algeria akiwa ni bingwa mtetezi!
Jumla ya timu 24 zitapambana kutafuta bingwa mpya katika michuano itakayifanyika katika majiji matano yenye viwanja sita ndani ya Cameroon.
Mechi hizo zitakuwa live kupitia ving'amuzi vya Azam, Dstv, Star times, Canal.
Wale wadau wa kustream basi pitieni hesgoal.com
Hivyo, kwa updates zote za michuano hiyo utakuwa unazipata kwenye uzi huu karibu sana mwanamichezo!
Wasidhanie hawa ni Bukinafaso. Mafarao wana sayansi ya matokeoNarudia kusema, Senegal hizi nafasi atakuja kusaga meno
Kwakweli. Huwa wanabadilika sanaWasidhanie hawa ni Bukinafaso. Mafarao wana sayansi ya matokeo
Inatakiwa kuisha mapema wakiruhusu mpaka matuta watachukua ndoo ya kuogeaSenegal wasipomaliza hili game nitawashangaa...
Salah analeta ujuaji refa anamkabidhi kipenga[emoji1787]