2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Huyu refa ni fala Sana anataka kuharibu mchezo kwa kutoa umeme, yaani katoa kadi 7 vs 9 kwa Senegal na Egypt respectively.
 
Senegal [emoji23][emoji1211]
Fainali zilizopita ilipocheza Senegal na Algeria nilikuwa upande wa waarabu, leo tena anacheza Senegal na Mwarabu moyo wangu unatamani Senegal washinde japo mimi sio shabiki yao.


Ila mkuu ulikuwa una shabikia team la ajabu sana, Cameroon bila kubebwa hâta walipofika hawakustahili kabisa.
 
Naona Yellow card ni special kwa Senegal tu. Except ile ya penalty kwa Egypt
 
Back
Top Bottom