2022 Haya ndio makabila yanaongoza kwa maendeleo

2022 Haya ndio makabila yanaongoza kwa maendeleo

Matajiri wakurya wapo wengi tu mwanza ila nawashangaa sana wabongo kumhusisha KITANA kwenye utajiri wakati alishashindwa hata kukamirisha gorofa lake pale kirumba sasa ni gofu zaidi ya miaka kumi! Lakini angalia wafanyabiashara wakubwa kama kishimba anavitega uchumi kama Rock bech, apartment bugando, jengo la kibiashara karibu na soko kuu hapo,Ramada hotel na apartment kibao dodoma na dar es salaam!
Hapo bado akina na mzee,Mipa hotel,Mongo house, Pigion hotel n.k
Matajiri wakurya ni wengi lakini kitana wala hana vitu vya maana!
Yupo jamaa anaitwa Ignas pale Geita ni ni tajiri wa kutupwa. Eti wakurya ! Mkurya gani tajiri hapo Mwanza ?
 
Eti maendeleo changamoto aliko msukuma, wewe hujui kitu gani. Hujui usukumani kila siku inazaliwa miji midogo kwa sababu Msukuma anachapa kazi. Nenda Katoro, Lamadi, Masumbwe, Lunzewe, Lwamgasa n.k. nenda sasa huko uchaggani au kwa hao wakinga wenu ni wapi kuna miji ya biashara inazaliwa ? Msukuma kila kitu yupo, utajiri yupo, elimu yupo, kilimo yupo, ngoma za kienyeji yupo, ushamba yupo. Chezea sukuma weye.
MSUKUMA NI MTU MMOJA MSHAMBA NA MJINGA HAPA NCHINI HICO KILIMO UNASEMA ANAFANYA KWA NGUVU NYINGI HUISHIA KUUZA MAZAO KWA BEI RAHISI NA KUPELEKEA WAFANYA BIASHARA NA MATAJIRI KUFAIDI KULIKO YEYE NA ASILIMIA KUBWA YA HAO WAFANYA BIASHARA NI WACHAGA KWAHYO APO MSUKUMA AMEISHIA KUA KAMA MANAMBA AU MTUMWA
 
Kusema kweli wanaweza kuwa wanaonekana hawana maendeleo kutokana na lifestyle yao, Ila ukiangalia vizuri wasukuma wanamaendeleo sana kwa sasa na pia hata maeneo wanayotoka yanakua kwa speed kubwa sana. Changamoto ya wasukuma huwa hawabadiliki sana hata kama anahela nyingi pia,sio watu wa showooff.
WASUKUMA NI WASHAMBA TU WANAWEZA KUA NA MALI NYINGI KAMA NG'OMBE HATA BUKU MASHAMBA MAKUBWA LAKINI ASIWE HATA NA CHOO SALAMA KWA MATUMIZI HUO NI UMASIKINI WENYEWE
 
Kama hakuna rutuba wangekuwa wanalima mpunga na mahindi ya kutosha, pia wasukuma wamechukua maeneo makubwa ya nchi hii, kama ifakara, mbeya, katavi, mpanda, morogoro, mtwara n.k.
Kama ulikuwa hujui msukuma ndio anaongoza kwa kutafuta pesa hapa Tanzania, tofauti na makabila mengine yanayojitapa kutwa nzima kukimbilia mijini wakijiona ndio wapambanaji, msukuma utamkuta mjini, utamkuta vijijini, porini na kwenye mbuga akitafuta pesa.
NARUDIA TENA WASUKUMA MNA MASHAMBA MAKUBWA NA MNAFANYA VILIMO VIKUBWA HLO HALIPINGWI LAKINI MNUFAIKA WA KILIMO CHENU NI DALALI NA MFANYA BIASHARA HII NI KUTOKANA NA KUUZA MAZAO KWA BEI YA CHINI KWA SABABU AKILI HAMNA MNAISHIA KUNUFAISHA WACHAGA AMBO NI WAFANYAJI WAZURI WA BIASHARA ZA MAZAO.
MUACHE UPOPOMA
 
Mimi wahaya nawafahamu vzr...biashara wapo baadhi wanafanya na wengine wana makampuni makubwa tu....

Wengi biashara hasa hiz za uchuuzi hawafanyi kwa sababu zimejaa wizi, rushwa, utapeli na ukwepaji kodi....wahaya huwa wako royal sana..wanavalue sana furaha ya moyo kuliko wingi wa hela but no real furaha kama wachaga walivyo...wachaga wanapesa nyingi tu wengi lakin hawana furaha kabisa...na wanajificha katika kufanya kazi sana...hio yote wanajua hela hizo walipozitoa...


Ukifanya analysis vzr wachaga hutamani sana na kuwa .....

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
WAHAYA WASHAMBA TU NIMESOMA NAO USHIRIKA YANI WAO AKILINI MWAO WANAOTA KUAJIRIWA TU KWENYE UCHAMBUZI WA HOJA NA KUTATUA MATATIZO YA JAMII KAZI KUKARIRI ELIMU ZAO HAWATUMII KWENYE MAISHA HALISI NI WAJINGA TU NA UNAKUTA JITU KAMA HLO LINA PATA GPA YA 4 MPAKA 4.8 MPAKA UNAJIULIZA HUYU MTU ANASOMEA UJINGA NA UPUMBAVU..
 
NARUDIA TENA WASUKUMA MNA MASHAMBA MAKUBWA NA MNAFANYA VILIMO VIKUBWA HLO HALIPINGWI LAKINI MNUFAIKA WA KILIMO CHENU NI DALALI NA MFANYA BIASHARA HII NI KUTOKANA NA KUUZA MAZAO KWA BEI YA CHINI KWA SABABU AKILI HAMNA MNAISHIA KUNUFAISHA WACHAGA AMBO NI WAFANYAJI WAZURI WA BIASHARA ZA MAZAO.
MUACHE UPOPOMA
Kwa hiyo kwenye biashara ya nafaka mchaga anamzidi msukuma? Wewe wa wapi?
Kwenye biashara zifuatazo mchaga anamzidi msukuma
Maduka ya vifaa vha magari,super market,baa na biashara za vyuo binafsi na shule!
Msukuma anamzidi mchaga kwenye biashara zifuatazo!
Baiashara ya nafaka na mazao,madini,mifugo!
Wahaya wanawazidi wachaga kwenye elimu,na kwenye firm kama za sheria n.k
Wewe punguza tu chuki huu ya wao jamaa wako vizuri sekta nyingi ndio maana hata hao wachaga hawana mji mingi ya kiashara kwao kama katoro na kahama!
 
Kabila la kwanza kuendelea ni Wahindi Chief. Wakafuatia waarabu ndio useme wachagga. Hata wakinga Bado sana hiyo nafasi. Ungesema wapemba.
 
Kuhusu usomi nahisi umechukua data za 1990s kwa sasa kila kabila lina wasomi tena wachaga wanadrop sana kielimu wanabase na biashara sana.
 
NARUDIA TENA WASUKUMA MNA MASHAMBA MAKUBWA NA MNAFANYA VILIMO VIKUBWA HLO HALIPINGWI LAKINI MNUFAIKA WA KILIMO CHENU NI DALALI NA MFANYA BIASHARA HII NI KUTOKANA NA KUUZA MAZAO KWA BEI YA CHINI KWA SABABU AKILI HAMNA MNAISHIA KUNUFAISHA WACHAGA AMBO NI WAFANYAJI WAZURI WA BIASHARA ZA MAZAO.
MUACHE UPOPOMA
Endelea kuota na kukariri maisha, msukuma anapatikana maeneo yote msukuma utamkuta, mbugani, porini, mijini, vijijini, visiwani na sehemu zote zenye rutuba, msukuma ni mapambanaji kuliko mtu yoyote msukuma sio mchuuzi kama mchaga, msukuma sio mwizi kama mchaga, msukuma sio tapeli, msukuma anafanya biashara halali.
Nakuuliza kwa hiyo hakuna wafanyabiashara wa mazao wasukuma au ndio mnaishi kwa kusimuliana hadithi za abunuwas?
 
Kabila la kwanza kuendelea ni Wahindi Chief. Wakafuatia waarabu ndio useme wachagga. Hata wakinga Bado sana hiyo nafasi. Ungesema wapemba.
Endeleea kulishana upumbavu na ujinga, ukitoa muhindi na Mwarabu anayefuata ni msukuma endeleeni kututukana wasukuma washamba ndio hao wanaomiliki ardhi ya Tanzania 65% Kaeni kwa kukariri hivyo hivyo msukuma ni kama vile simba mwenda pole.
 
Huu kusema wachaga hawazidi m1 ni uongo wachaga wanakaribia m4
 
Endelea kuota na kukariri maisha, msukuma anapatikana maeneo yote msukuma utamkuta, mbugani, porini, mijini, vijijini, visiwani na sehemu zote zenye rutuba, msukuma ni mapambanaji kuliko mtu yoyote msukuma sio mchuuzi kama mchaga, msukuma sio mwizi kama mchaga, msukuma sio tapeli, msukuma anafanya biashara halali.
Nakuuliza kwa hiyo hakuna wafanyabiashara wa mazao wasukuma au ndio mnaishi kwa kusimuliana hadithi za abunuwas?
Ila mikoa ya wasukuma inaongoza kwa umaskini..
Acha kuleta ushabiki kama unataka mjadala serious
 
Wewe kabila lako lina maendeleo gani, au kuuza duka la rejareja naww unakuwa mfanyabiashara mkubwa, acha kushindana na msukuma kenge wewe, wakitoka wahindi na waarabu wanaofuata kwa ukwasi hapa Tanzania ila hawana kelele za kipimbi hakuna kabila lingine bali ni wasukuma.
Ngosha jaribu kuwa serious basi wasukuma hawawezi kuongoza kwa utajiri kila mwaka kuna njaaa na mahindi ya msaaada 70% yanapelekwa usukumani
 
Zingatio 1: Simo katika kabila lolote kwenye hii orodha, sina mgongano wa kimaslahi wa kunifanya kupendelea ama kuchukia makabila niliyotaja.

zingatio 2: kuwa ndani ya haya makabila haimaanishi watu wote wa kabila hilo wafanikiwa, hata idadi ya wenye mafanikio makubwa ndani ya haya makabila bado ni ndogo, usibweteke kujidanganya umefanikiwa kisa umo ndani ya haya makabila, Tafuta chako!!

Muhimu 3: kama kabila halipo haimaanishi halina watu waliofanikiwa, kuna watu wa makabila ambayo hayamo humu wana mafanikio makubwa kuzidi watu kibao wa makabila yaliyowekwa hapa.

Muhimu 4: hakuna muhuri wa kudumu wa umasikini ama maendeleo kwenye haya makabila, kuna kupanda na kushuka, kuna makabila yalikuwa chini zamani ila kwa sasa yanakuja kwa spidi ya radi, mengine yameshuka.

1. Wachaga -

🎯Biashara
🎯Elimu
🎯Siasa
🎯Kubebana
🎯Kuendeleza kwao

Kibiashara kabila hili wapo katika nafasi nzuri, wamekuwa pioneers wakubwa katika kuanzisha na kuziendeleza biashara kibao, mifano ya biashara maarufu kuna kampuni ya ndege za Precision Airways, Hamidu city sehemu ya makazi yenye nyumba elf 2 za kisasa, hotel kali za Arusha / Dar, n.k. Icon kubwa katika kabila hili ni Marehemu Mzee Reginald Mengi, aliweza kuingia ndani ya orodha ya top 10 ya matajiri wa hapa nchini akiwa ni mtanzania pekee mwenye asili ya makabila ya hapa kwetu, kwenye elimu nako hakuwa nyuma, alikuwa muhasibu wa kwanza nchini kuthibitishwa na bodi ya wahasibu na wakaguzi wa hesabu za fedha (CPA), aliweza kutumikia sehemu mbali mbali zilizompa mishahara minono lakini aliamua kugeukia ujasiriamali uliompa utajiri mkubwa.

Kielimu wamejitosheleza, mkoa wanaotokea unaongoza kwa kuwa na shule nyingi tangu zamani hadi sasa, kupata elimu ni kitu rahisi, maofisini katika kila watumishi 10 imeshazoeleka kumkuta mchaga walau mmoja na hii idadi imepunguzwa sana, miaka ya nyuma maofisin kulijaa wachaga na makabila machache yasiyozidi matatu yaliyokuwa na wasomi hususan wahaya. sikuhizi hali ni tofauti, elimu imesambaa kwenye makabila mengi na mbaya zaidi wasomi ni wengi kuzidi ajira kiasi kwamba nafasi 1 inagombaniwa na watu 500, pia wizara ndio inasimamia zoezi la ajira sio kama zamani kila shirika / taasisi ilijisiamia kwenye kuajiri, bosi akiwa mchaga anarundika ndugu zake. Uzuri ni kwamba wachaga hawategemei ajira pekee, huwa kuna mlango mwengine wa kufanya biashara, inakuwa rahisi kwao kuanza biashara maana wana utamaduni wa kubebana kwa kuchangiana mitaji na kwavile kunakuwa na ndugu wanaofanya biashara huwa inakuwa rahisi kushikwa mkono kupewa ramani, ushauri na connections za biashara.

Kisiasa wapo active na sijaona wa kuwakaraibia, vyama vikuu vya upinzani vilivhowahi kuleta upinzani mkali kuanzia Tlp, Nccr na Chadema vimeanzia huko kwao, wamo pia kwenye chama kikuu cha ccm na influence yao ya political power si haba.

Kubebana na kusaidiana ni silaha kubwa sana katika maendeleo yao, mmoja akitoboa anasaidia wengine.

Hawasahau kuendeleza walikotoka, wanajenga na kuboresha makwao huko kwenye asili yao, hata ikitokea misiba au wakirudi kusalimia huwa hapati shida kwenye makazi. Kuna nyumba ya Marehemu mzee Mengi aliijenga kwao ni mfano wa mansion za kisasa.

kila mwisho wa mwaka kabila zima huwa wanarudi makwao kwa pamoja, ni utamaduni wa kipekee, kukutana huku husaidia ndugu waliotawanyika kukutana, ndugu kuchangiana mitaji, ndugu na majirani kujuliana hali, kupanga mikakati, kutambulisha watoto kwa ndugu, n.k. kurudi inakuwa rahisi maana makazi ya vijijini wanayaboresha.

mkoa wao ni wa pili kwa kiwango kidogo cha umasikini...

Niishie hapa maana ntaanza kuonekana nawapendelea lakini kila nilichoorodhesha hapa ni facts.

Wakinga -

🎯Biashara
🎯Kubebana

Kama ilivyo kwa wachaga, nao hawa kubebana na kusaidiana ni silaha kubwa sana katika maendeleo yao, idadi yao ni ndogo hawavuki milioni lakini wanabebana sana pengine kuzidi hata wachaga.

Hawa shabaha yao kuu ya mafanukio wameilenga sehemu moja kwenye biashara, kwenye elimu bado wanajikongoja lakini main focus wameweka kwenye biashara na kiukweli biashara zimebadili maisha yao.

Nchini China katika jiji la Ghuangzhou wakinga ndio watanzania waliojazana zaidi mpaka wana mitaa yao, ni jiji kubwa la kibiashara lenye viwanda vingi na kuna bandari kubwa ya kusafirisha mizigo, wakinga wa huko huwa wanashughulika na kutafuta bidhaa nzuri viwandani kisha wanasafirisha kwa meli ziwafikie ndugu zao wa huku, hata ikitokea kuna bidhaa kama kiatu kinauzwa sana hapa nchini basi kitasafirishwa kwa ndege kiwafikie ndugu zao wa huko wakipeleka kwa wachina watengeneze vingi na kuvisafirisha haraka vifike hapa kwetu wapige pesa, wana kampuni maarufu ya kusafirisha bidhaa kutoka China hadi hapa kwetu inaitwa Mapembelo Cargo, hilo neno Mapembelo ni salamu yao ya kilugha.

Silaha yao kubwa ni kuuza kwa bei ndogo, ndugu zao wa huko China wanahusika sana hapa kwa kupeana connection za machimbo ya huko China yenye bei za chini, kampuni ya kusfirisha bidhaa zao nayo inapunguza gharama, pia na wao hawanaga tamaa za faida kubwa nayo hii inasaidia sana gharama kuwa ndogo. hii mbinu ya kuuza kwa bei ndogo ndio iliwafanya hata wapemba na wachaga kupungua pale Kariakoo, ni ngumu kushindana na mtu anaeuza bidhaa hio hio au yenye ubora zaidi kwa bei chee, ni ngumu sana!

Mwamko wa biashara kwa wakinga wengi ulianza miaka ya 2000 lakini ndani ya muda mfupi maendeleo yao ni mithiri ya spidi ya radi.

Masoko waliyoteka ni soko la kuu la Kariakoo pamoja na mikoa ya nyanda za juu kusini. Kwa Dar wamejaa kwenye soko la Kariakoo ambalo ni soko mama na kubwa kuzidi yote nchini, wafanyabiashara wengi wenye maduka Dar, mikoani na wale wa nchi za Malawi, Zambia, Congo, Rwanda na Burundi wanajumua mizigo yao katika soko hili. Kariakoo si ajabu kwenye maduka 10 kuyakuta 6 yana wakinga, soko hili hapo zamani walijaa wachaga na wapemba hapa lakini kwa sasa hali ni tofauti, wakinga wamejazana na ndio wanaongoza kwa uwakilishi. Pia wanamiliki maghorofa mengi hapo Kariakoo.

Ukiachana na kariakoo, wameweza kuuteka kibiashara ukanda wa nyanda za juu kusini kwenye miji mikubwa ya mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe, Ruvuma..

wenye chuki na wivu wa maendeleo hawakosekani, waliwahi kusambaza uchungu wao kwa wachaga kwa kuwaita ni majambazi na matapeli, hivi sasa wamehamia kwa wakinga kuwaita ni wachawi, yani kuna watu hawafurahii hata kidogo maendeleo ya wengine, naweza kusema hayo mambo hata kama yapo ni kwa wachache waliofanya maamuzi yao binafsi, na hata kama ingekuwa uchawi unategemewa basi kwanini waganga walioshika huu uchawi hali zao ni duni ? Kwanini makabila yanayosifika kwa uchawi hali zao ni duni, wanashindwaje kutumia matunguli yao waroge biashara ziwape maendeleo ?

Wapemba -

🎯Biashara
🎯Kubebana

Hawa nao kubebana na kusaidiana ni silaha kubwa sana katika maendeleo yao, kwa mara nyingine tunaona jinsi umoja ulivyo na nguvu

Kwenye swala la elimu huko Pemba wapo chini sana ni mkoa unashika namba ya mwisho miaka nenda rudi lakini kwenye biashara wapo mbali sana, mafanikio waliyonayo ni kuzidi hata ya wasomi wengi wanaopokea mishahara mirefu, connection walizonazo na ndugu zao waliojazana nchi za nje nyingi zinawabeba pia.

Wahaya -

🎯Elimu

katika swala la akili za darasani ni kama walizidishiwa 😂, mkoani kwao mazingira ya elimu yapo chini lakini bado wanafaulu, ilifikia kipindi serikali iliongeza alama za ufaulu kwa mkoa wa kagera maana watu walikuwa wanafaulu kama vile wanakunywa maji.

Elimu inawabeba na inawapa sifa za kuajiriwa sehemu nyingi,

Maofisini katika kila watumishi 10 si ajabu utamkuta mhaya angalau mmoja na hii idadi imepunguzwa sana, miaka ya nyuma ilishazoeleka maofisin kujaa wahaya na makabila machache yaliyokuwa na wasomi kama wachaga. Sikuhizi uwanja umebadilika kwasababu elimu imesambaa kuna shule nyingi za serikali + private, tuisheni, upatikanaji rahisi wa vitabu, ufaulu umekuwa mkubwa, n.k. hali hii imefanya kuwe na wasomi kibao karibu kila kabila, maofisini hata wamasai wapo. pia kwa sasa wizara ndio inasimamia zoezi la ajira sio kama zamani bosi wa shirika unamkuta ni mhaya au mchaga anarundika wenzake. ubaya ni kwamba wahaya wengi hawana mlango wa pili (plan b), wana uwezo mkubwa darasani wa kuwafanya wapate sifa za kujirika (zamani ilikuwa ni uhakika wa ajira) lakini sasa nje yah apo kujiongeza hata kwenye biashara ni wazito.

Kubebana bado wapo kiwango cha chini, naweza kusema kubebana kupo sana makabila ya kibiashara kwenye kuchangiana mitaji lakini huku kwengine sio kivile.

Wasukuma -

🎯Elimu

Wasukuma ndio kabila lenye watu wengi kwenye hii nchi, wapo takribani milioni 12, idadi yao ni kubwa sana na ilibidi iwabebe lakini tatizo lao kubwa ni kwamba wana ushirikiano mdogo, laiti wasukuma wangekuwa na muungano hakuna kabila lingewafikia hata nusu ya maenddeleo yao.

Any way kwa wasukuma bado idadi yao kubwa inawabeba, katika hii idadi kuna koo zimeelimika na kuliweka kabila kwenye ramani,

Pia hujishughulisha na shughuli za uchumbaji mdogo wa dhahabu na kilimo japo ni kiwango cha kawaida.

Kuzaliana kwa sana kumekuwa ni tatizo kubwa.
Umesahau kwa wasukuma ongezea na neno Kilimo.Humo ndani ya kilimo kutabeba ufugaji,uvuvi na uchimbaji mdogo hawa jamaa nawapenda sana kwa kweli hata sidiriki kuwatania
 
Heshima kwa wachaga.

Mimi sio mchaga lakini huwa nikifika kwenye hii miji midogo midogo inayoibukia kwenye fursa, moja ya kigezo ninachotumia kwenye kubaini uwepo wa fursa za kibiashara ni uwepo wa wachaga.

Kama mji wa kibiashara hauna wachaga, hapo napaangalia mara mbili mbili.
Mbona ukienda makambako, Njombe hutawaona wachagga Ila Pana maendeleo ya kutosha. Matajiri ni wazawa tuu
 
Back
Top Bottom