2023/24 Simba hajashinda hata moja

Tangu msimu huu uanze Simba ameshacheza mechi tatu za kimataifa (vs Power dinamo na Al Ahly). Kati ya hizo, Ametoa sare zote na ameruhusu magoli katika kila mechi. Hii maana yake ni nini? Wajuvi niambieni.
Li timu bovu kabisa
 
Ni mwepesi ndio ila haimzuii kufika malengo yake.

Ihefu ilikuwaje akukande wakati wewe timu yako hairuhusu kufungwa?
Mbona hata nyie Azam waliwafunga? Kufungwa ni kufungwa tu.
 
Tangu msimu huu uanze Simba ameshacheza mechi tatu za kimataifa (vs Power dinamo na Al Ahly). Kati ya hizo, Ametoa sare zote na ameruhusu magoli katika kila mechi. Hii maana yake ni nini? Wajuvi niambieni.
Maana yake mpira una dunda
 
Tangu msimu huu uanze Simba ameshacheza mechi tatu za kimataifa (vs Power dinamo na Al Ahly). Kati ya hizo, Ametoa sare zote na ameruhusu magoli katika kila mechi. Hii maana yake ni nini? Wajuvi niambieni.
Mwamedi janja janja sana eti kawawekea bil.1 wakishinda, kaona mlima mrefu isiwe tabu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…