Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mao na Miroshi wanangefanya vizuri zaidi kwenye mchezo wa rugby
Majina yangekua kwa rangi nyeusi ingependeza zaidi na yangeonekana vizuriJezi zetu majina hayaonekani
Thmefungwa captain anapigwa sub anatoka kwa makasiriko pumbavu sanaSamatta nje fei toto ndani dakika ya 69 hapa
Wapigwe tuMiroshi anakula second yellow anakula red hapa, dakika ya 71
Taifa stars ya mama samia na serikali ya awamu ya sita
Wapigwe tu
NakaziaWapigwe tu
Anacheza faulo za makusudi sijui huko Ulaya anajifunza niniKumbukumbu: November 21 mwaka 2023 Taifa Stars ikicheza na hawa hawa Morocco kuwania nafasi ya kucheza World Cup 2026, Novatus Dismas Miroshi alikula umeme dakika ya 65 na tulifungwa 2-0 pale kwa Mkapa
Jamaa ana shida gani?!