Hatari tupu Washatulowesha 3 bilaKila la kheri kwa Tanzania...
Hahaaaa don't take serious. Nilijua tunafungwa nikawa najifariji tu mkuu.Ulisoma comment yangu kweli?
Nilisema wapi nimempenda?? Mkuu, unajua kupenda kweli kulivyo?
Kuadmit hair style yake ndio kumpenda??
Ulitarajia tutashinda?Nimekasirika sana sidhani kama nitaangalia mechi za timu ya taifa
Hata wafungwe 20 Tanzania lakini all the blessings ziwaendee...Hatari tupu Washatulowesha 3 bila
tunasubiria miujuza tuπ€ π€ π€ π
Ushabiki maandazi huu. Kwani hakuna timu isiyofungwa duniani.Nimekasirika sana sidhani kama nitaangalia mechi za timu ya taifa
Ndio maana alikuwa anacheka.Tuendelee kujikumbushaView attachment 2874827
Huo ndio uzalendo sasa santo sanaHata wafungwe 20 Tanzania lakini all the blessings ziwaendee...
UpdateEtii hii nayo ni habari.πππView attachment 2874834